Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 281
- 628
Wanawake hao hawajakomaa wana utoto mwingi.ila akifika 30 nakuendelea sasa anaweza akawa mke maana anajitambua.
Mwanamke wa umri huo 20 - 28 ndio umri sahihi wa kuzaa (Biological) na vilevile ndio umri sahihi wa KUOA.Wanawake hao hawajakomaa wana utoto mwingi.ila akifika 30 nakuendelea sasa anaweza akawa mke maana anajitambua.