Ndugu zangu,
Naamini mnaendelea vema.
SAMAHANI KAMA NITAWAKWAZA: Naomba msaada wenu kwa anayejua kuhusu SIFA NA TABIA za wanawake wa KIIRAQ au WAMBULU na majirani zao WARANGI.
Na pia naomba...
Am planning to have a self driving to Tanga via Bagamoyo, Saadan national park, Pangani final destination Tanga. It's a leisure trip , any single under23 girl please send me pm
Wakuu habari,
Nimekuwa nikijadili hili jambo na rafiki yangu mmoja hadi akaniita 'Toxic' kwamba sifai
Wakati nipo kwenye umri wa 20+ ilikuwa nikitongozwa na mwanaume wa umri wa 30+ na...
Habari zenyu, poleni na majukumu
Moja Kwa moja kwenye pointi, 2024 nlivyoondoka huku dar kulikuwa na kabinti Kwa huo mwaka niliona si vyema kuingia nako kwenye mahusiano, tukawa tu marafiki story...
Hapa msije mkanielewa vibaya kutokana na kichwa cha habari
Nazungumzia ile kaliba ya watu ambao wamejikuta kwenye ulevi fulani kwasababu ya upweke!
Hakuna kitu kibaya kama upweke! Athari zake ni...
Kuna hii hali ya ndugu na marafiki wanakuja kwako kukuomba hela, ila kwa kuona ili asiendelee kuwa ombaomba pamoja na kuwa na maisha magumu, unaamua kumpa kazi kwenye biashara zako au kampuni...
Ndugu zangu.
Mpaka unakuja kuzeeka na kuingia kaburini kila mtu ana yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe hawezi kuja kumsahau kwenye maisha yake kama chachu ya mafanikio au kutokufanikiwa kwake...
1. Nawasihi sana ndugu zangu vijana msiige kila mnayoyaona mitandaoni. Influencer anapiga domo kwenye Instagram kwamba ni financially independent kumbe ana babu yake a.k.a SANTA CLAUS...
Jamaa kamfinyia huyu dada vitendo vya kilusifa kamtumia kadi ya mwaliko wa harusi kwamba anaoa mwanamke mwingine.
dada kawahiwa na marafiki zake kidogo ajitie kitanzi.
Mimi nilikuwa natumwa na madam Kila siku kumbe alikuwa ananitaka 🤣🤣
Mwisho wa siku tulijikuta tumeshakulana maisha yakaendelea na somo lake nikapata A.
Miezi miwili nyuma nilimshuku mke wangu ana mawasiliano na jamaa yake aliyemtoa bikira uko SONGEA.
Nikaanza kunyatia katika mawasiliano yao.
Kiukweli wakakumbushana mambo mengi mpaka siku...
Mimi nafikiri haya yote ni madhara ya kuangalia porno sana na ubaya zaidi ni kuwa porno imezagaa katika simu za vijana na kushikamana kama vile pua na mdomo.
Sasa hivi watu hawaoni haya...
Maoni yako , tafadhari.
Je ni sahihi kumkimbia mwanamke ambaye ushamlipia mahari na ukamuachia na ujauzito au kwa jina maarufu Mimba .?..
Natafuta Ajira
Nipo hapa mgahawani napata chakula tangu saa 2 asubuhi mpaka muda huu. Sitaki kabisa kwenda nyumbani, nipo naosha osha macho angalau niweze kutoka na mmoja.
Wakuu, nimchukue yupi kati ya hawa?
Have you ever sat across from a Tarot reader, nervously tapping your foot, waiting for that one ultimate card to flip over? We’ve all been there. Whether you are deeply single and wondering when...
Tarehe 29/04/2026 Mahakama Kuu ya Tanzania masjala ya Dar es Salaam imehitimisha kesi ya kusisimua na kusikitisha inayomhusisha Abdallah Miraji Mussa, maarufu kama "Mr. Blue", aliyepatikana na...
Wanaume wengi wanapo balehe , miaka 13 wakiwa kidato cha kwanza, wenye kuweza kutongoza huanza ngono na waoga huanza kujichua.
Je, Wewe ulianza kujichua mpaka sasa upo na miaka zaidi ya 30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.