Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Cool down, kubaliana na ukweli. Ndio maisha hayo, ndio asili ya wanawake kutaka upgrade au comfort kutoka kwa mwanaume. Hakuna chochote unachoweza kufanya kubadilisha hilo suala. Usilazimishe...
26 Reactions
57 Replies
1K Views
Hamn mwingine mwenye maarifa makubwa kama yeye.Akiwa jukwaan kuko best sana,asipokuwepo kuna boa sana. maana ana mautalaam balaa na nyuz zake nying n za kishua.Hongera sana mtaalam wet wa heshima.
7 Reactions
29 Replies
314 Views
Hilo ni swali mezani wakuu. Nawauliza kutokana na kile ninachokiona kwa macho yangu mawili, why mabinti wa kipare wanajiona kwamba wao ndio wana soko kubwa sana linapokuja suala zima la mahusiano...
11 Reactions
160 Replies
2K Views
Iwe chama tawala au upinzani haitakuwa salama sana. Jitahidi kuomba Mungu akupe ujasiri na kukuondolea roho ya wivu na gubu kwa yajayo. Kama akianza kuhudhuria mikesha ya mwenge ndo usali zaidi...
23 Reactions
98 Replies
2K Views
Moja ya sifa kubwa ya mwanaume ni kunyandua vizuri. Hivyo wanaume wenzangu jitahidini kujifunza kunyandua vizuri,upatapo mwanamke.Kwenye kunyandua usiwe na huruma, tumia nguvu,staili na ufundi
15 Reactions
98 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Naamini mnaendelea vema. SAMAHANI KAMA NITAWAKWAZA: Naomba msaada wenu kwa anayejua kuhusu SIFA NA TABIA za wanawake wa KIIRAQ au WAMBULU na majirani zao WARANGI. Na pia naomba...
9 Reactions
97 Replies
3K Views
UZI TAYARI. Yupi kati ya mwanamke au mwanaume anayepaswa ashukuru baada ya tendo?
2 Reactions
9 Replies
313 Views
Am planning to have a self driving to Tanga via Bagamoyo, Saadan national park, Pangani final destination Tanga. It's a leisure trip , any single under23 girl please send me pm
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu habari, Nimekuwa nikijadili hili jambo na rafiki yangu mmoja hadi akaniita 'Toxic' kwamba sifai Wakati nipo kwenye umri wa 20+ ilikuwa nikitongozwa na mwanaume wa umri wa 30+ na...
16 Reactions
94 Replies
2K Views
Habari zenyu, poleni na majukumu Moja Kwa moja kwenye pointi, 2024 nlivyoondoka huku dar kulikuwa na kabinti Kwa huo mwaka niliona si vyema kuingia nako kwenye mahusiano, tukawa tu marafiki story...
4 Reactions
144 Replies
3K Views
Hapa msije mkanielewa vibaya kutokana na kichwa cha habari Nazungumzia ile kaliba ya watu ambao wamejikuta kwenye ulevi fulani kwasababu ya upweke! Hakuna kitu kibaya kama upweke! Athari zake ni...
39 Reactions
125 Replies
15K Views
Kuna hii hali ya ndugu na marafiki wanakuja kwako kukuomba hela, ila kwa kuona ili asiendelee kuwa ombaomba pamoja na kuwa na maisha magumu, unaamua kumpa kazi kwenye biashara zako au kampuni...
5 Reactions
28 Replies
325 Views
Ndugu zangu. Mpaka unakuja kuzeeka na kuingia kaburini kila mtu ana yule rafiki au mpenzi ambaye kamwe hawezi kuja kumsahau kwenye maisha yake kama chachu ya mafanikio au kutokufanikiwa kwake...
12 Reactions
264 Replies
10K Views
1. Nawasihi sana ndugu zangu vijana msiige kila mnayoyaona mitandaoni. Influencer anapiga domo kwenye Instagram kwamba ni financially independent kumbe ana babu yake a.k.a SANTA CLAUS...
19 Reactions
122 Replies
7K Views
Jamaa kamfinyia huyu dada vitendo vya kilusifa kamtumia kadi ya mwaliko wa harusi kwamba anaoa mwanamke mwingine. dada kawahiwa na marafiki zake kidogo ajitie kitanzi.
10 Reactions
67 Replies
1K Views
  • Redirect
Mimi nilikuwa natumwa na madam Kila siku kumbe alikuwa ananitaka 🤣🤣 Mwisho wa siku tulijikuta tumeshakulana maisha yakaendelea na somo lake nikapata A.
0 Reactions
Replies
Views
Miezi miwili nyuma nilimshuku mke wangu ana mawasiliano na jamaa yake aliyemtoa bikira uko SONGEA. Nikaanza kunyatia katika mawasiliano yao. Kiukweli wakakumbushana mambo mengi mpaka siku...
42 Reactions
225 Replies
29K Views
Mimi nafikiri haya yote ni madhara ya kuangalia porno sana na ubaya zaidi ni kuwa porno imezagaa katika simu za vijana na kushikamana kama vile pua na mdomo. Sasa hivi watu hawaoni haya...
15 Reactions
184 Replies
5K Views
Maoni yako , tafadhari. Je ni sahihi kumkimbia mwanamke ambaye ushamlipia mahari na ukamuachia na ujauzito au kwa jina maarufu Mimba .?.. Natafuta Ajira
1 Reactions
3 Replies
134 Views
Back
Top Bottom