Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nipo kisiwa cha unguja Bado sijapata direction, ni sehemu gani hapa naweza nunua potassium, please isiwe shamba, naombeni maelekezo hususani hapa mjini magharibi
0 Reactions
4 Replies
160 Views
Katika maisha kila mtu kuna kitu ambacho ajawai kukifanya kabisa kwaiyo uwa anatamani sana kukifanya icho kitu kwa upande wangu mimi na umri nilionao nilikua tayari nimewai kufanya mambo mengi...
2 Reactions
5 Replies
216 Views
Wanipe premium membership Ntaweka heshima sana Nttatoa Pesa kwa kwa wahitaji Ntaweka kila jambo Sawa Heshima Muhimu
9 Reactions
21 Replies
260 Views
Mnapenda sana Gen-z sijui ni kwa sababu wanatembeza moto.Na tena mna haribu ujana wetu. mna haribu nguvu kazi mbona msitembee na...
3 Reactions
10 Replies
198 Views
Huyo chizi nani anasema mi ni dogo niko tanzania ! Mi Nina Mwaka wa 12 ziko bongo nakula mbususu alafu mtu yuko Tandale analeta upuuzi Nawala anayechukia achukie
6 Reactions
12 Replies
182 Views
Hapa makasiriko ni mengi sana sijui Tatizo nini 1. Ni maisha magumu ? 2. ARVs 3. Mitaji kukosa 4. Kukimbiwa na mademu au Tatizo ninii? Au njaaa ? Mtu unakuwa idle Kidogo Unasema ngoja nifanye...
11 Reactions
81 Replies
1K Views
Sote tunajua kumwambia mtu ukweli hasa kwenye kizazi hiki ni mtihani yaani ile mpenzi wako au rafiki yako kazingua kwenye jambo fulani na haujapenda hilo tendo tatizo linakuja kwenye kumchana je...
3 Reactions
17 Replies
191 Views
Mahusiano ya kudumu hayataki mbwembwe. Mahusiano ya kudumu hayataki hisia kuzidi akili. Mahusiano ya kudumu yanahitaji uhalisia sio kuigiza. Mahusiano ya kudumu yanahitaji msingi mzuri kuanzia...
9 Reactions
31 Replies
484 Views
Unakuta unachati na mpenzi wako yuko mbali umemmiss Hivi hakuna namna wanasayansi wakae wabuni mtambo spesho kwa wanao misiana , wa kutuma watu kama unavyotuma meseji kwenye simu? yaani shaa...
2 Reactions
6 Replies
136 Views
Wadau najua maisha ni magumu sana. Sikatai life is not fair kwa wote. Kuna watu wako vizuri kiuchumi. Sasa nini kinakufanya umnunulie gari, umfungulie biashara, uwajengee wazazi wa mkeo nyumba?
6 Reactions
52 Replies
780 Views
Aisee ni vigumu kuona bikra dsm, inasikitisha Utafiti umefanya na (erm)huu umehusu wasichana wanaofika umri wa miaka 25 wakiwa bikira, ( virginity percentage at 25 years old) Kati ya watu miamoja...
4 Reactions
203 Replies
29K Views
Single Maza. Mtoto anakua akijihisi anamamlaka juu ya Kila kitu,l.Hawa kukoselewa kwao ni ishara ya kudharauliwa hivyo ni makosa kwao kukosolewa, hawapendi kukosolewa, wagumu kukubaliana na...
3 Reactions
19 Replies
251 Views
Ni aina ya wanawake ambao wengi hawana hata mafundisho ya kitamaduni ya kuwa mama mlezi, at least hapo zamani yalikuwa yanasaidia kina mama kukuza watoto wa kiume, mfano siku hizi Mama anaoga na...
3 Reactions
13 Replies
211 Views
MEMORIES OF 2019. Sitasahau Hasira Niliyopata Baada ya Kutongoza Mwanaume Mwenzangu kwa SMS kwa Makosa ya Namba. Wakuu, niwarudishe nyuma kidogo miaka 7 iliyopita, ilikuwa ni mwaka 2019...
5 Reactions
13 Replies
337 Views
Ijalishi ni tajiri au maskini ila haya ndio mambo ambayo unatakiwa kujua mapema. 1.MUDA Wanaume tumekuwa tukitumia mda mwingi kupambania maisha yetu na mda mwengine kupumzika kwa kuburudika...
6 Reactions
18 Replies
435 Views
Tumia KONDOMU. Usiseme sijakwambia. Sirudii mara 2 nikipita nimepita. Vaa Condom.
3 Reactions
12 Replies
151 Views
Habari za Saba Saba. Jamani wale wataalaam wa afya kuna uhusiano wa kupandisha hasira na sukari mwilini mwa binadamu?
0 Reactions
1 Replies
83 Views
Huu uzi ni mahsusi kwa ajiri ya kutupia maneno mazuri na ya kuvutia ya kupendeza kwa yule umpendaye wengi hapahapa watachukua maneno mazuri Siku zote mapenzi yanahitaji upendo wa dhati utani wa...
2 Reactions
24 Replies
353 Views
Back
Top Bottom