Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanza ? Arusha ? Mbeya ? Iringa ? Dodoma ? Hali ipoje hayo majiji,
9 Reactions
59 Replies
973 Views
Tarehe 29/04/2026 Mahakama Kuu ya Tanzania masjala ya Dar es Salaam imehitimisha kesi ya kusisimua na kusikitisha inayomhusisha Abdallah Miraji Mussa, maarufu kama "Mr. Blue", aliyepatikana na...
16 Reactions
135 Replies
2K Views
Wanaume wengi wanapo balehe , miaka 13 wakiwa kidato cha kwanza, wenye kuweza kutongoza huanza ngono na waoga huanza kujichua. Je, Wewe ulianza kujichua mpaka sasa upo na miaka zaidi ya 30...
16 Reactions
170 Replies
3K Views
Mwanamke anahitaji kubembelezwa. Mwanamke ahaitaji stori nyingi Mwanamke anahitaji kulambwa.Utajua mwenyewe utalamba wapi. Mwanamke anahitaji kibunda.
17 Reactions
257 Replies
4K Views
Klabu ya Chelsea ya Wanawake imetangaza kuachana na Mshambuliaji wao hatari Sam Kerr raia wa Australia ambaye ameifungia magoli 115 klabu hiyo mpaka sasa akiwa ameitumikia klabu hiyo miaka sita na...
2 Reactions
19 Replies
397 Views
Kwa uzoefu wako, mathalani umeopoa pisi kali na kudumu nayo usiku kucha, ni sehemu ipi huchacha kwa haraka zaidi na kutoa harufu usiyioipenda kabla ya filimbi ya mwisho ya kumaliza game kupigwa...
2 Reactions
43 Replies
604 Views
Wakati tunaanza na kumpatia uhakika wa huduma alikuwa anatoa ushirikiano nzuri tu kunipatia sifa kedekede za 'uhandsome'. Leo, baada ya kuyafikia malengo yake kwa asilimia kubwa, amenizingua kwa...
0 Reactions
3 Replies
124 Views
Juzi pitapita mitandaoni, nikapata taarifa kuwa chirwa na rubeni wameachana, nikataka nijue chanzo, mana huyu Binti watanzania walikua nyuma yake kutokana na kile nacho amini kuhurumiwa...
11 Reactions
150 Replies
2K Views
Wakuu, Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero! Ana sura...
22 Reactions
224 Replies
3K Views
Naamini mko njema wakuu Katika maisha yangu yote sikuwahi kuwaza kuishi na mwanamke mfanyakazi/mtumishi iwe wa umma au binafsi Niliamini kwamba mwanamke ili awe na mapenzi ya kweli lazima awe...
17 Reactions
91 Replies
1K Views
Huko nyuma nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mtu mzima, kutokana na uzuri wake pamoja na ujuaji wake, mahusiano yalijaa migogoro mingi; hali iliyopelekea ata mtoto aliyezaliwa kuhisi ana wababa...
1 Reactions
9 Replies
187 Views
Salam sana Wakuu, Neno Bwana ni common sana, lakin kwa uelewa wangu limekuwa likitumika ili kumkweza mtu au kumpa mtu cheo, mfano mtu anaeza kukuitwa vp Bwana mkubwa😀 Naeza kuelezea Bwana as a...
8 Reactions
30 Replies
360 Views
Hili jibu la nina mtu linakera sana!, kama umeshajua haiwezekani kunikubalia si useme tu haiwezekani. Unanitajia mimi li mtu lako la kazi gani...? Ipo siku nitakuja kushuka na mtoto wa mtu...
24 Reactions
192 Replies
2K Views
Kumbe Mimi ninayeenda dakika 75 (Dar es Salaam - Zanzibar) kwa Bao Moja huku nikiikamia Mbunye hadi Chenji irudishwe huwa nakosea mno.
13 Reactions
131 Replies
3K Views
Wakuu, hili jambo utakalolisoma hapa ni maisha yangu 100%. Kuna ile kauli mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, naona ni kweli 100%. Haya maisha ninayoishi sehemu kubwa ni matokea ya makuzi yangu...
27 Reactions
141 Replies
17K Views
Miaka michache nyuma tulianzisha kikundi cha sanaa ya uigizaji mtaani kwetu. Mimi ndio nilitoa hilo wazo na kuwashirikisha vijana wenzangu ambao niliona wanaweza kufanya sanaa ya maigizo. Nilitoa...
20 Reactions
121 Replies
9K Views
Habari Wana JF Mwanangu usiniletee single maza🙏 Hii nikauli iliyotoka kwenye kunywa Cha baba yangu nilipomueleza kua nataka kuoaa. Ipo hivi nilipata kazi mwanza miaka miwili iliyopita na katika...
9 Reactions
26 Replies
596 Views
Wakuu poleni natumai mpo macho na wale wagonjwa Mungu awatie nguvu. Ipo hivi mimi ni mfanyakazi kwenye ofisi moja huku Tunduma Masasi karibu na Lilongwe road. Sasa, kuna single mother nimeanza...
11 Reactions
37 Replies
619 Views
Back
Top Bottom