Huu uzi ni mahsusi kwa ajiri ya kutupia maneno mazuri na ya kuvutia ya kupendeza kwa yule umpendaye wengi hapahapa watachukua maneno mazuri
Siku zote mapenzi yanahitaji upendo wa dhati utani wa...
Leo bana nikiwa katika harakati zangu za siku, kulikua Kuna sehemu nimetulia
Ghafla nikaona mwanamke Mzuri na yeye pia alikua ametulia Kwa mazingira yake kumfata ilikua noma
Nikaona hapa...
Okay my dadas, kwanza kabisa habari zenu :)
kama tunavyojua, kila mmoja wetu hapa ana story za ajabu kuhusu mambo waliofanya kisa mapenzi. Some are wild, wengine funny, weingine cringey, na wengi...
Pamoja na wimbi kubwa la talaka na watu kutengana ama kuachana kabisa lakini hii ni special case kwa muktadha wa mada hii
Mahari ninini?
1.Wajibu wa Mwanamume: Katika mafundisho ya kidini (kama...
MWANAUME MZIMA UNAEOA SINGLE MOTHER NA KUBEBA BAO LA MWANAUME MWENZAKO
Hivi nyie washenzi baadhi ya wanaume mnaojiita midume rijali mna akili kweli au mna minyoo na makamasi kwenye fuvu maana...
Kuna dada mmoja alikuwa akijisifia mbele yangu pasipo kujua kuwa anajiharibia. Kuwa yeye kipapiro chake aka papuchi yake ni dry... Siyo kama za mademu wengine zina mimaji.
Akawa anataka nione...
Wakuu habari zenu.NImekuwa namjadala nandugu yangu mmoja hapa kuhusu hoja hapo juu kuwa wanawake walio naumri wakuanzia 28yrs ukijiingiza tu wanakupa motto hili nikweli ?
Wanawake wengi ambao wapo 30+ na hawana ndoa ni hawa...
1.Walikataa kutumia mili yao for free lunch,so wakaonekana na misimamo ya hovyo...as per continet(Africa) is taken into consideration...
Heri ya jumapili nyote!!
Nina kesi yangu hapa,kila nikirudi usiku sikuti chakula cha usiku,nikimhoji wife anasema eti alijua nimekula kwenye ulevi wangu.
Jana nimerudi na ubao sio poa,lakini...
Hivi ni vitu ambavyo kwenye mahusiano mtu hua anawekeza japo vinakosa uwiyano. "malengo" hapa mtu anakua anajua kua alie nae yupo nae kwaajili ya maisha au sehemu ya mapito. "hisia" kwa maana...
Kipindi sijaoa hakuna mwanamke mwenye kusumbuka na mimi ,kila niliyetaka kumuoa alikuwa hataki.
Baada ya kuoa na maisha ya ndoa yani kila mwanamke akiona pete kidoleni au kunijua wanatengeneza...
Mnakera,mmenikera hamnijui , siwajui.
Kuna post ya Nusrat imepostiwa si muda mwingi,anasema sijui alikuwa anajiuza sasa kaacha,sijui anataka kuacha.
Cha ajabu kwenye komenti kuna mijitu inasema...
SABABU 10 AMBAZO HUFANYA WANANDOA KUNYIMANA TENDO LA NDOA KWA MAKUSUDI, CHANGAMOTO ZAKE NA MADHARA YAKE
Katika maisha ya ndoa, tendo la ndoa sio tu suala la mwili bali pia ni daraja la ukaribu wa...
Zamani miaka ya 2005 kurudi nyuma mapenzi yakikuwa na mvuto sana. Ie kulikuwa na commitment ya mahusiano baina ya wapendanao na hata mmoja akisafiri kwenda mkoa mwingine still wapenzi...
Siku hizi walimu wa maisha wametapakaa wanafundisha watu kupata pesa, kudumu kwenye ndoa na familia na kuwa na maisha mazuri ila kituko kwa hao walimu kila wafundishacho ni kinyume chake na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.