Baada ya mke wangu kununua kufuli, nimecheka sana

Baada ya mke wangu kununua kufuli, nimecheka sana

binjo

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2016
Posts
2,115
Reaction score
1,259
Miezi miwili nyuma nilimshuku mke wangu ana mawasiliano na jamaa yake aliyemtoa bikira uko SONGEA.

Nikaanza kunyatia katika mawasiliano yao.

Kiukweli wakakumbushana mambo mengi mpaka siku alivyomfaidi(KUMBIKIRI)
Mwezi mmoja baadae mke akampiga kibom jamaa cha tsh.50000 jamaa akamtumia.

Kama kawaida yangu si mtu wa kukurupuka nikitoka kubebeza zege nazuga sijui chochote.

Juzi nimelala wife ananiambia mume wangu nimenunua kufuri zuri ebu chekii linavyonikaa nikamjibu waooooooo upo sex kama ndo nakuona leo leo vile(IJAPOKUWA NDANI ANAZO KAMA 15......)Alafu nikachekaaa sana mpaka mbavu zikaniuma.

Akaniuliza vip mbona unacheka nikamjibu aah umenikumbusha siku ya kwanza nakuonja.

KUMBE SABABU YA YEYE KUNUNUA KUFURI NI KWAMBA WALIJADILI NA JAMAA anunue ili kila akivaa awe anakumbuka kuwa lazima siku waonane akumbushie.

Mpaka sasa sijamuambia kitu nasubiri siku ya makutano yao maana wamejadili siku akienda kusalimia kwao UMATENGONI ndio wafanye sherehe.

KAMA UNA MOYO MDOMO FANYA YAKO USIMCHUNGUZE WIFE WAKO.

Omba maradhi na mimba zisizo zako zikuepuke.

Mrejeshooo.....load..........
 
Back
Top Bottom