Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 38,072
- 57,726
Kuna hii hali ya ndugu na marafiki wanakuja kwako kukuomba hela, ila kwa kuona ili asiendelee kuwa ombaomba pamoja na kuwa na maisha magumu, unaamua kumpa kazi kwenye biashara zako au kampuni.
Matokeo yake anakataa kazi na kulalamika ya kuwa, umeshindwa kumsaidia.
Hii imekaaje wakuu?, Na wahenga wanasema, ‘Mtu akikuomba samaki usimpe samaki bali mfundishe namna ya kuvua samaki.”
Matokeo yake anakataa kazi na kulalamika ya kuwa, umeshindwa kumsaidia.
Hii imekaaje wakuu?, Na wahenga wanasema, ‘Mtu akikuomba samaki usimpe samaki bali mfundishe namna ya kuvua samaki.”