Dogo atupe awape michongo hata wenzake asiwatambie tu
Nilipo Norway mi bado nakomaa sijafika level za kuwapa michongo
Ila yeye anaeleza maisha very simple kana kwamba pesa wanaokota
Anyway...
Moja ya mtihani mkubwa sana ambao wanaume tunakutana nao ni hili. Najua papuchi it has to smell like that as it is not a garden of roses, ila kama it smells very strong, or has a fishy odour hapo...
Nimechelewa kuamka mgongo unauma sana Mbaga Jr ninafuata ushauri wako ni kuwala tu 😀
Baada ya mechi ya ureno nikawa na mademu tumezoena sikutumia hata mia Jana wao ndo walinunua, wakanipa na...
Inanitafakarisha sana hii
Yaani huwa najiuliza maswali mengi sana nikiona mwanamke wa hivyo miaka 40, 45, 47, 49, 50 huna mume na hujawahi hata kuolewa hata mara moja yaani hata mara moja kwenye...
Salaam wakuu, mimi ni mwenzenu ila account yangu sijui imefanyaje na ile email walihack ila nimefungua account mpya.
Sasa ndugu zangu mimi nina 38 sasahv na ndio naingia kwenye ndoa, huyu binti...
Msisimko wa kingono husababisha kutolewa kwa homoni kama vile dopamine na oxytocin.
Mara tu baada ya kilele, viwango hivyo hupungua, na ile sehemu ya ubongo inayohusika na mantiki (logic) na...
Hbari
Sio mishangazi, , Kuna Ile unakuwa na mahusiano na mwanamke wa makamo Yako then ikatokea ukamuazima pesa alishawahi kukupa laki na kuendelea je hakukudai hiyo pesa au ajakusimanga Kwa...
Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa !
Kwa sasa kupata mwanamke
1. Kuwa na Pesa
2. Cheo
3. Kipaji
4. Muongo...
Yaan zama hizi si za kupenda mtu! Nipe nikupe baasi,
Hakuna ku attach hisia zako kwa mtu, katika kazi unazofanya hakikisha kipato chako unakigawa hivi
Let say unapata 20,000$ monthly
Kwanza...
Kuna demu hapa mtaani black ana sura ya kawaida sana ila ukimtongoza anaweza kukupiga hata kofi anakwambia hataki mambo ya kijinga wahuni wote mtaani wamegonga mwamba tusema hawana mpango nae hata...
Habari zenu baada ya kuruka ruka sana hapa na pale nimeamua nioe, hivyo nilipopata karikizo kadogo nikawa nimeshapanga na mdada rafiki yangu wa karibu wa zamani kwamba namuoa. Akakubali,
Tatizo...
Nipo kisiwa cha unguja Bado sijapata direction, ni sehemu gani hapa naweza nunua potassium, please isiwe shamba, naombeni maelekezo hususani hapa mjini magharibi
Katika maisha kila mtu kuna kitu ambacho ajawai kukifanya kabisa kwaiyo uwa anatamani sana kukifanya icho kitu kwa upande wangu mimi na umri nilionao nilikua tayari nimewai kufanya mambo mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.