Wadada acheni maringo yasiyokuwa na tija

Wadada acheni maringo yasiyokuwa na tija

Chizi Msomi

Senior Member
Joined
Jun 23, 2026
Posts
129
Reaction score
221
Kuna demu hapa mtaani black ana sura ya kawaida sana ila ukimtongoza anaweza kukupiga hata kofi anakwambia hataki mambo ya kijinga wahuni wote mtaani wamegonga mwamba tusema hawana mpango nae hata kidogo YANI BADO NI BIKRA tunamwita jike dume japo ana msambwanda ila sura ya babu yake

wadada acheni malingo yasiokua na tija sura huna unalinga
 
Back
Top Bottom