Kunywa maji, lala, ukiamka tongozwa kubali maisha yaendelee....haya mateso ya mapenzi ni yetu sote hadi tunakufa...unataka kutususia peke yetu? Hapana, haya maumivu ni yetu soteSion faida ya kuwa kwenye mahusiano bora kuwa single tu.kwa kwel nmeumizwa sana enough is enough!.....
Niache tu mkuu nna mawazoUnauliza au unatoa taarifa?
HIyo alama ya kuuliza hapo juu kazi yake nini?
Likewise to me! Ila nadhani effect nimeipata nikiwa mdogo.Sion faida ya kuwa kwenye mahusiano bora kuwa single tu.kwa kwel nmeumizwa sana enough is enough!.....
Sion faida ya kuwa kwenye mahusiano bora kuwa single tu.kwa kwel nmeumizwa sana enough is enough!.....
Nimekuacha.Niache tu mkuu nna mawazo
Una tatizo la Oneitis.Sion faida ya kuwa kwenye mahusiano bora kuwa single tu.kwa kwel nmeumizwa sana enough is enough!.....
Njoo mbeya beby itakuwa mwisho kupigwa matukioSion faida ya kuwa kwenye mahusiano bora kuwa single tu.kwa kwel nmeumizwa sana enough is enough!.....
Pigia sana nyetooooSion faida ya kuwa kwenye mahusiano bora kuwa single tu.kwa kwel nmeumizwa sana enough is enough!.....