Nicole tesla na newtone waliweza sisi tunashindwaje?

Nicole tesla na newtone waliweza sisi tunashindwaje?

Sasa Tesla muda mwingi alikuwa anawaza michoro na maumbo ya ugunduzi huyo mtu hamu itatokea wapi?...Ubongo unafundishwa namna ya kuishi na mtu anaweza Ku adapt, wale mabudha au monks wanaishije?, akili zao muda mwingi zinafikiri mambo Yale Yale au yanayofanana so matokeo ya fikra zao na utekelezaji wake ndio unaona wako vile....
 
Mimi sijaelewa mada mkuu, waliweza nini hicho ambacho sisi tuneshindwa,
Ni udhaifu tu huo na umaskini usijisumbue kuna njia ya kuondoa hisia hizo....soma hapo chini
hisia gani hzo,
 
Back
Top Bottom