Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

JamiiForums ilipata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Mpaka nimeamua kukuandika sijui nifanye nini, mimi ni kijana wa miaka 33 nimeoa na nina mtoto mmoja na sasa hivi mke wangu amekwenda nyumbani kwetu kujifungua na hii ndio sababu ya mimi kuja...
14 Reactions
158 Replies
10K Views
Wanasema imani n kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo n bayana ya mambo yasioonekana Dah nnina dada yangu kaolewa kama mwez umepita jana kapiga mumewe kahamishiwa dodoma.... Hapo tuna mwingine...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Uwe ni mdada, au mkaka, uwe na mchumba na unasita kuamua kuoa au kuolewa, sikia usisite, amua haraka na iwapo unataka ushauri njoo inbox. Na iwapo huna mchumba na unahitaji msaada, pia usisite...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari za jioni ndugu zangu wa JF. Suala la mahusiano linavuruga akili kiasi cha kutesa sana.Macho yanaona msichana mrembo sana maishani kila siku. Mrembo ulie muona aweza kuwa wa dini yako ama...
3 Reactions
10 Replies
534 Views
Inakuaje waheshimiwa? Thread hii ipo kwa lengo la kuhadithiana visa mbali mbali tulivyokumbana navyo kati yetu, wazazi wetu na michepuko yetu. Hapa juu naomba nianze na kisa cha kwanza 👇 Nikiwa...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Kiunganishi katika ndoa ni kushiriki tendo la ndoa. Inapotokea tendo la ndoa halifanyiki kwa muda fulani mfululizo, hapo kunakuwa hakuna ndoa, na badala yake wote wawili mnakuwa washirika wa...
6 Reactions
69 Replies
5K Views
Ni jumla ya utimamu wa kimwili, kiasaikolojia, kiakili na kiroho katika kushiriki kikamilifu kwenye tendo ndoa. Concentration ya kimwili, kiakili, kiasaikolojia na kiroho yafaa kua kwenye tendo...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
1. Dk. Ben Carson alisema, "Nilitatizika kimasomo katika shule yote ya msingi lakini nikawa daktari bingwa wa upasuaji wa neva duniani mwaka wa 1987." SOMO: Kupambana ni ishara kwamba uko kwenye...
8 Reactions
26 Replies
1K Views
1. Ongea kidogo na usikilize zaidi. Na unapokuwa na jambo la kusema, limaanisha na watu watakuwa na shauku ya kukusikia ukizungumza. 2. Usibishane kamwe na watu kwenye masuala kama vile dini...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini, Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha...
22 Reactions
134 Replies
6K Views
Wakenya katika mitandao ya kijamii wamechangamkia sana wimbo wa Stella Wangu wa mwanamziki mashuhuri wa humu nchini Freshley Mwamburi. Wamechangamkia wimbo huo wakikumbuka leo hii ni tarehe 17...
7 Reactions
7 Replies
898 Views
WANAWAKE WANATESA WANAUME MABWEGE! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unaleta mambo ya kibwegebwege Kwa nini usiteswe. Unaleta Tabia za kibwege nazi, Acha unyooshwe. Hakuna mwanaume Duniani...
49 Reactions
99 Replies
10K Views
Napigwa bit kwa kuhisi kua nataka kuwasiliana na mama yake mtoto nikiwa na mke wa sasa.. Vipi huko mwenzangu? Imekua kesi, yaani sipati wasaa wa kuongea na dogo kwa sasa ana miaka 4. Toka niachane...
13 Reactions
67 Replies
2K Views
Ndugu zangu. Hivi ni nani anayepaswa kulipa mahari ili binti aolewe. 1: Je, ni kijana anayetaka kuoa ndiye anaye lipa 2: Au ni Baba mzazi wa kijana anayeoa ndiye anayemlipia kijana wake mahari...
1 Reactions
7 Replies
492 Views
Mambo vipi wanandugu. Nimekaa na kutafakuri Sana. Hizi ndoa ambazo hazidumu huwa ni laana tupu. Kama Baba yako mzazi alimuacha mama yako akaenda kuoa mke mwingine basi tambua hiyo laana...
5 Reactions
52 Replies
2K Views
Mahusiano yana siku 3 nikamwambia Jmosi tuvunje amri ya 6 akasema mpaka nimzoee nijiridhishe kama ana tabia njema naye pia ajiridhishe ndipo tufanye. Hivi mtu munaishi mitaa tofauti muchunguzane...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Kachumbari ya tendo la ndoa Mara nyingi inaaandaliwa na mwanaume ndio huwa wa kwanza nayo inanoogaa zaidi mwanaume akianzisha vionjo kabla ya tendo. Kachumbari hiyo iwe na mchanganyiko wa viungo...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Khabarini wana jukwaa, Nimekuwa na mahusiano na mke wa mtu takribani miaka minne sasa na hatimaye mwaka huu niliamua kuachana nae kama nilivyoelezea katika uzi wangu wa Msaada: Mke wa mtu anataka...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu..... Sina haja ya kuanza na salam, maana nimevurugwa. Ipo hivi..... Kwasasa nimehamishiwa Dar kikazi. Sasa one time nilialikwa na mwanangu Tupa niende kwenye pare ya kutimiza miaka 10 ya...
13 Reactions
67 Replies
3K Views
Back
Top Bottom