Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Star wa nyimbo za gospel Christina Shusho dada anaonekana mtamu huyu sijui yule jamaa ake alifeli wapi.
11 Reactions
111 Replies
8K Views
Hili nimekutana nalo sana tu na ukiona hadi Kitu GENTAMYCINE anakisema basi jua kwa 100% kina Ukweli wake wote Oky?
13 Reactions
103 Replies
4K Views
Naomba ladies mfunguke kuhusiana na hilo swali langu hapo juu. Asante
4 Reactions
88 Replies
4K Views
Dah tuweni makini UKIMWI upo. Humu ni post za mapenzi tu sijui hili au lile . Haya 1.6 ml wanao umeme . https://youtu.be/eVKa-dIWbdk?si=Eed0o5VAQM4ixvF2
1 Reactions
6 Replies
650 Views
Dah tuweni makini UKIMWI upo. Humu ni post za mapenzi tu sijui hili au lile . Haya 1.6 ml wanao umeme . https://youtu.be/eVKa-dIWbdk?si=Eed0o5VAQM4ixvF2
3 Reactions
15 Replies
868 Views
Ndugu zangu, amni iwe nanyi, Nimekuwa nikisema maandishi mbalimbali humu jamvini ambayo kwa baadhi yenu wamenichukulia kama adui wa wanawake na wengine kujifunza baadhi ya mambo ambayo yatakuwa...
68 Reactions
289 Replies
74K Views
Kuna mwamba hapa amekamatwa, ni mchawi Anasema kuwa yeye hutumia mguu WA kiume kuendeshea ndege yake ya usiku ya ungo kwenda kuwanga Dah ila wanaume jamaan poleni Sana Mnalia Lia hamna nguvu za...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Huyu dada nafahamiana nae kwa mda wa mwaka na miezi kadhaa hivi. Tulikutana katika mishe mishe za maisha tukajenga urafiki wa kawaida. Binafsi nafurahia sana urafiki wetu, ni dada flan ivi ana...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
HAKIMI APATA CHOMBO MPYA Staa wa Morocco na klabu ya PSG anayesifika kwa kuwanyoosha wanawake matapeli ametajwa kupata mchumba mpya ambaye pia ni mchezaji wa timu ya wanawake wa klabu ya PSG...
12 Reactions
12 Replies
1K Views
Probability ya mwanaume kumcheat mkewe( kuwa na mchepuko) Ni almost 80% Au niseme zaidi ya asilimia 80 ya wanaume wote Duniani Ni wanacheat kwa wapenzi/ wake zao. Ila ukimuona mwanaume ambaye...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Ndugu zangu haijalishi wanawake watakuja kutukana hapa na baadhi ya wanaume wapumbavu watakuja kutema mapovu hapa kutetea ujinga wa hizi sampuli ila ukweli ni kwamba wanawake hawana haki ya...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
Hivi unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia? Ulijifunza nini baada yakuachana naye halafu...
2 Reactions
10 Replies
886 Views
Habarini ndugu zangu, Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu...nimekuja Leo kwenye jukwaa pendwa la mapenzi Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ewe mwanamke sikia hii, siri za mmeo ziweke kibindoni, kwamba ni malaya sana, unamfumania siku zote, kwamba kitandani ni dhaifu, kwamba ni muongo, kwamba huwa anajinyea hovyo, kwamba hana kazi ya...
2 Reactions
16 Replies
930 Views
point yangu sio kutegemea uje kutunzwa na watoto, ni kwamba ukizeeka muda mwingi watoto wako watakuwa karibu na mama yao kuanzia kumjulia hali, kumsaidia, kumpa faraja na hata kwenye simu unakuta...
10 Reactions
18 Replies
2K Views
Ikatokea umemfumania mkeo, usimuabishe mkeo. Nyamaza, acha huyo mgoni wako aondoke, kaa kitako na mkeo muongee na myamalize nyie wawili na usimtangaze popote.
6 Reactions
72 Replies
3K Views
Wakuu, hii imekaaje? Ni kwanini wanafunzi wa sekondari hasa kuanzia kidato cha nne, tano na sita wasifundishwe kuwa na mahusiano salama huko mashuleni? Kuna rafiki yangu na ndugu yangu wa...
7 Reactions
89 Replies
19K Views
Habari Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi. Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
26 Reactions
287 Replies
14K Views
Tuna miaka 8 tunaishi pamoja tuna mtoto mmoja wakike. Hatujafunga ndoa kutokana na changamoto za kiuchumi na kutokubaliana Kwa ndugu wa pande zote mbili kiumeni na kikeni hataivyo mpango tulionao...
27 Reactions
282 Replies
23K Views
ELEWA VIPINDI NA HALI YA MIHEMUKO KATIKA NGAZI ZA MAHUSIANO Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA JITU LA MIRABA Katika kahusiano kuna mihemko inatofautian kati ya jinsia na nyakati za...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom