Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,921
- 36,784
Mahusiano yana siku 3 nikamwambia Jmosi tuvunje amri ya 6 akasema mpaka nimzoee nijiridhishe kama ana tabia njema naye pia ajiridhishe ndipo tufanye. Hivi mtu munaishi mitaa tofauti muchunguzane tabia ili tu mupate kufanya tendo inawezekana vipi?
Ingekuwa tumepanga kufunga ndoa sawa.
Nikamwambia sawa. Next day ananiomba pesa aongezee mtaji wake afanye biashara ndogo ndogo alizokuwa anafanya awali.
Nikamwambia twende nikakupe. Akakubali, nikamwonyesha lodge achague twende lodge au turudi mahome akasema sijampanga mapema. Nikamuuliza umesahau nini nyumbani?
Nikampa buku 5 ya nauli sikutaka maelezo nikaondoka.
Eti alitaka nimpetipeti.
Kwani machangudoa sh.ngapi?
Kwani nyeto bei gani?
Pesa husemi mpaka tuzoeane.
Mambizi.
Mimi siwezi kumbembeleza mwanamke, haitatokea.