Mr Alpha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 250
- 676
Kachumbari ya tendo la ndoa Mara nyingi inaaandaliwa na mwanaume ndio huwa wa kwanza nayo inanoogaa zaidi mwanaume akianzisha vionjo kabla ya tendo.
Kachumbari hiyo iwe na mchanganyiko wa viungo vifuatavyo ndio itakua tamu zaidi.
1.Mazungumzo ya mahaba Mwanamke anapenda Sana mwanaume mwenye kubebeleza nakushawshii ,hisia za Mwanamke zikiamshwa kutoka kwenye ubongo wake humfanya kuwa active zaidi .
2.Romance mpapaso wa Aina yake Mwanamke anapendelea Sana mguso zaidi saana apate mguso wenye uendana na hisia zake usitumie pupa kumgusa kua mtulivu nenda taratiibu,gusa chuchu zake ,gusa shingo yake, chukua mate yake kidogo.
Nogesha Mambo yaende nasio kukurupukia penzi haijalishi ni mkeo ,kumekua na tatizo kubwa wanna ndoa baada yakuzoeana wamekua wakivamiana TU pasipo maandalizi Jambo ambalo sio sahihi kabisaa.
Maandalizi kabla ya tendo ndio hatua ya kwanza nayenye kupewa kipaumbele zaidi katika swala Zima la tendo la ndoa.
Mnaweza kutumia Hata zaidi ya lisaa limoja kufanya maandalio kutokana na uitaji wa mwenza wako tumia mda wakutoshaa kumuandaa vizurii.
Kumbuka kua asilimia kubwa ya wanawake wasasaivi akili zao hazipo sawa kutokana na MIKOPO #KAUSHA DAMU inayo wakabili kila kuitwapo leo.