fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,623
- 8,201
Uwe ni mdada, au mkaka, uwe na mchumba na unasita kuamua kuoa au kuolewa, sikia usisite, amua haraka na iwapo unataka ushauri njoo inbox. Na iwapo huna mchumba na unahitaji msaada, pia usisite kuomba kwangu ushauri. Nitakuongoza vizuri sana chini ya usimamizi wa Mungu ili uoe au uolewe na utapata mafanikio makubwa sana maishani mwako. Wakati ni huu.