Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wadau niwaulize, Ulishawahi kupenda mpaka ukajiona zuzu? Nilimpa jamaa moyo wangu mwisho wa siku tumeneemeka akaanza kudokoa nje. Amesahau viapo ahadi na hata familia. Anarudi home kwa sababu...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Nishawahi kuchangia watu 25 nnaowajua na ndoa 13 zishavunjika ndani ya muda mfupi tu hivi simuoe kwa siri kwa bajeti ndogo muache kusumbua watu. Basi mkioana msiachane ili mtupe moyo think...
6 Reactions
17 Replies
709 Views
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine ikawa...
18 Reactions
323 Replies
8K Views
Kuna msichana mmoja niko nae kaning'ang'ania. Nimeshamwambia twende taratibu lakini yeye ana kasi sana, mara ananiita mume. Wakati bado nataka tuchunguzane kwanza. Yaani kajaa matumaini mpaka...
0 Reactions
58 Replies
9K Views
Aaah yamenifika hapa! Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone. Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa...
10 Reactions
60 Replies
4K Views
Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia. Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii...
17 Reactions
55 Replies
4K Views
Moja Kwa Moja kwenye points aisee hivi karibu idadi kubwa ya masingle mama imeongezeka Kwa Kasi ya ajabu kila nitakae piga nae story Moja mbili hivi anasema yeye yupo single na anawatoto tu...
4 Reactions
17 Replies
987 Views
Liza Anasema alifanya makosa kingine utoto Tu anasema nilikua mwanaume sahihi kwake mi sijui....... Usikite mbele nami ningekua kivuruge Anasema nimsamehe Sana akili za kitoto Tu zile maisha...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Dah jana mpenzi wangu aliniaga anaenda kuangalia kazi flani coz hii ya sasa mshaara haumtoshi nikamwambia poa.akaenda ilaa nilimpa muda yani mpaka saa saba awe amerudi akasema poa...
15 Reactions
322 Replies
35K Views
Natumai mu wazima wote wana jamii forum hasa wa ukurasa huu, leo napenda kuwashirikisha jambo hili kwa jinsi nionavyo/ninavyofikiri mimi kuwa kitendo cha kutokukuta bikra kwa wasichana tunaokutana...
4 Reactions
90 Replies
17K Views
Kuna wake za watu ambao, for some reasons, wanaamua kutembea nje ya ndoa.Si nia yangu kuwahukumu,lakini ili 'wasiharibikiwe' kwenye ndoa zao,natoa hili angalizo.Yote haya ni katika kubalansi maana...
24 Reactions
385 Replies
35K Views
Wakuu, Kuna binti nilizaa nae mtoto miaka kadhaa iliyopita kabla sijaoa kwa bahati mbaya uhusiano huo haukuweza ku materialise kufikia ndoa nikawa nimeoa mwanamke mwingine yeye hajaolewa hadi...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Kumbee ndivyo ilivyo, Naanza kwa kufikiri na kutizama naona kama maono nakuja kugundua kumbee ndivyo alivyooo looh! Sina hamu Kasinde mie najuta kumuamkia adult kumbe kinda la ndege khaaa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
9 Reactions
48 Replies
3K Views
*Unalalamika kama Yeye *Unaongea sana kama Yeye *Unaongozwa na hisia kama Yeye *Una wivu sana kama Yeye *Huna misimamo kama Yeye *Una matiti na kitambi kama Yeye
13 Reactions
30 Replies
3K Views
1. Usipende kuongea kama utani madhaifu ya marafiki zako au jirani ili ufurahishe watu 2. Hakikisha unasalimia majirani hata kama huna story nao 3. Hakikisha unaanza kusalimia watu unaowakuta...
31 Reactions
37 Replies
2K Views
Ni hivi ndugu zangu nipo kuwakumbusha kuwa hakuna mwizi wa gari akaiba gari na kuliendesha kistaarabu kiasi kwamba hata ukija kulikuta utakuta kama ulivyo liacha. Ni hi atakanyaga mafuta hadi...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Habari zenu Wana wa Jamii forum? Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea vizuri na pirikapirika za utafutaji mkate wa kila siku. Bila kupoteza muda Leo acha nitowe hoja ya kizushi. Wanawake...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
CHUKUA TAHADHARI KUBWA UNAPOJIINGIZA KWENYE KAHUSIANO NA WANAWAKE WAFUATAO. Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA 1. MWAMAMKE ALIYEKO KWENYE MSONGO WA MAWAZO Unapojiingiza katika mahusiano na...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Naombeni ushauri, Nilikua na mahusiano na mdada kwa kipindi cha mwaka mmoja umepita sasa. Na kama week mbili nyuma zimepita nilimfumania akiwa na mwanaume na nikaamua kuachana nae, simu zake...
9 Reactions
86 Replies
5K Views
Back
Top Bottom