Binti yako unamlea aje kuwa nani baadae?

Binti yako unamlea aje kuwa nani baadae?

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,703
Reaction score
19,589
Wakuu,nimeona watu wengi hasa wenye vipato vya juu huwalea binti zao wawe wenye vipato vyao,kazi nzuri,maisha mazuri na matokeo yake mabinti wengi huishia kwenye ukahaba,usingle mama na tabia zisizo faa.

Jamii nyingi vijijini zimekuwa zikiwaandaa mabinti waje kuwa mama bora,walezi na wajenzi wa familia.

Ndio maana wanandoa wengi ambao huachana ni wale wasomi,masingle mama wengi ni wasomi ambao wameachika. Niwapongeze watu wa vijijini kwa kuwalea mabinti zetu katika misingi ya uanauke.
 
Malezi mengi nowadays hayajikiti kutengeneza mke bora, bali mshindani dhidi ya mwaume.

Wazazi wengi wa sasa huwalea mabinti zao kwa misingi ya kumfanya binti amuone mwaume kuwa ni adui yake.

Atapewa elimu nzuri kwa lengo la kuwa na power ambayo mwanaume hawezi kumsumbua.

Atafundishwa kuwa nguvu ya pesa itamfanya awe na power control dhidi ya mwanaume.
 
Wewe binafsi, binti yako utamleajee?
 
Back
Top Bottom