Niaje wazee,
Ipo magic iliyojificha katika kuanza na positive vibes siku inapoanza kutoka kwa wapenzi wetu au hata watu tunaowapenda.
Mpenzi wako ana uwezo wa kuifanya siku yako kuwa ya furaha...
Habari za jumapili wanajamii forums
Kwa muda sasa nimekuwa nikijiuliza hivi lengo kubwa la kufunga ndoa ni nini.Kinachonipelekea kujiuliza hayo maswali ni kutokana na kutoona tofauti kati ya...
Rafiki yangu mmoja tulikuwa tunapiga nae stori, akaniambia kwenye ndoa kuna mambo mengi uwa inafika wakati mambo yanakuwa ya kinyama sana mfano kununiana, kususana na mambo yanayofanana na hayo:-...
Hello wakuu,
Kwanza niseme ukweli mie sio mzuri kwenye kuandika so mtanisamehe Kwa uandishi wangu.
Ilikuwa 2019 katikati, tulitangaziwa ofisini kwetu hapa mkoani, kuwa shirika litaleta member of...
Huyu wakala ni jirani yangu, kila muda ninapotaka kufanya miamala ya kipesa huwa nafanyia kwenye ofisi yake
Huyu binti nadhani hana moyo wa kupenda, na sidhani kama amewahi kumuonesha mtu dalili...
Hapa nakuja kwenu ndugu zangu najua hapa ni platform nzuri kuweza kupata mke serious hakika naimani hapa nitapata namna nahitaji mwenye mapenzi ya kweli
SIFA ZANGU
Miaka 36 now
Sina mtoto
Rangi...
hili lidada tena bahati mbaya au nzuri lilikuwa ni li mke la mtu. pande la mdada hasa. nyuma limefunga trailer linavuta makontena mawili makubwa kabisa. halafu ni wide road.lilikuwa lina sura...
Wasalaam ndugu zangu.
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,mimi ni mwanamke natafuta rafiki wa kiume (mwenza). Sina vigezo vingi japo nitavitaja kwa uchache kama ifuatavyo:
Umri: miaka 40 na...
Habari za jumapili!
Zile porojo za Watu waongo kuwa mzazi ni mzazi zinaenda kufutika. Kila siku nawaambia hapa, mahusiano ya Watu yanatokana zaidi na ukaribu wao jinsi wanavyoishi na kutendeana...
Ipi ni sababu ya msingi inayowapelekea wanawake kuwanyima waume zao tendo la ndoa?
Mmelalamika sana, tena sana, zaidi ya sana. Mimi mwenyewe ni mhanga wa hilo. Kama ningelijua hili kabla ya ndoa...
Watu huchanganya sana matumizi sahihi ya haya maneno ambayo hutumika kumaanisha ujumbe tofauti though huonyesha jambo lile lile.
Kitendo cha mwanaume na mwanamke kuvuliana nguo na kuingiliana...
Mwanamke Umewahi kupiga punyeto? Umewahi kujichua? Umeshazoea si ndiyo? Unajua madhara yake?
Punyeto ni nini?
Punyeto ni kitendo cha kujichezea sehemu za siri ili kujisisimua na kujiridhisha...
Kitendo hicho kina madhara kiafya kwao kama ilivyo kwa wanaume, hivyo kukaa kimya bila kulizungumzia hili ni kutowatendea haki.
Haya ni baadhi ya madhara anayoweza kuyapata mwanamke anayejichua...
Wakuu nimeleta mrejesho wa nyuzi ya Jana ya vipimo...Kama ilivyo ada Leo asubuh mida ya SAA nne tulikubaliana tukutane tuende Sasa hospital tukahakiki vipimo vya HIV ambavyo tulikua tumeshajipima...
Vijana wa kike na wakiume hususani mnao ishi hostels mnajichu na kusagana mno. Hali hiyo ni hatari sana kwa afya ya uzazi siku za usoni.
Hali hii inachochea na kushamiri kwa ongezeko kubwa la...
Habari za muda huu wana jamvi, poleni kwa majukumu na harakati za kila siku za ujenzi wa taifa na kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila kuchelewesha muda niende moja kwa moja kwenye mada...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Asome mwenye umri kuanzia miaka 18. Lugha itakayotumika inaweza Isiwe Rafiki. Hivyo msomaji kama ni una-mood swing haushauriwi kusoma andiko hili.
Ipo kasumba...
MBINU TATU WANAZOTUMIA WANAWAKE KULAGHAI NA KUWADANGANYA WANAUME WAINGIE KWENYE MITEGO YAO.
Wanawake Kila kukicha wanagundua mbinu mbalimbali za kuwachota wanaume wajae kwenye akili na mifumo yao...
Habari,
I hope Tuesday zenu zaenda poa!
Nataka ku-clarify jambo moja to all the males in here....
Kuna vijimaneno maneno kuwa tunapenda pesa sana, ni wachunaji n.k. Mimi naomba niseme NI KWELI...
iko hivi mimi mchaga mgumu sana kwa cash. aisee leo nimekutana na pisi kali sana. sana sana. mzuri sana. kakamilika, (simjui)
picha linaanza.
moyo ukapata palpation kwanza kama cardiac urgency...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.