Nakuomba mpenzi uniskize Tafadhali baby tuliza moyo kwa kweli. Niko wako Hivyo usiwe na shaka Wewe kaa ukitabasamu Mara tu ukiniona Penzi letu halina kasoro Mimi na wee ′tapendana kiroho Nakusihi...
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani.
Mnapiga na picha na...
Imearipotiwa kwamba Mmarekani Lisa Sparks anashikilia Rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kulala na idadi kubwa zaidi ya Wanaume ndani ya saa 24 – Wanaume 919. Alifanikiwa kupata rekodi hii lakini kwa...
Siku ya ijumaa niliandika kuhusu dalili zinazoonyesha Mtu mwenye hisia kalili
Unaweza kupitia hapa
https://www.jamiiforums.com/threads/dalili-10-kwamba-una-hisia-sana.2216147/
Leo tunaangazia...
Ni hivi penzi bado jipya kabisa.
Na kitoto cha elfu 2.
Kimeomba godoro.
Siwezi kutoa laki 2 au 3 kununua godoro jipya ila nyumbani kwangu Nina godoro ambalo sili tumii.
Ni yale magodoro...
Hivi kama mzazi anaweza kukubali mwanae afanye kazi ya ukaaba ili nyumbani wapate chakula na kulipa madeni hapo kuna mzazi kweli ?
Mazazi ukiwa huna kitu mfukoni, ni anakutukana na kukukashifu...
Naipenda hii. ID lakini ananipuuzia nikilike nyuzi zake yeye alike zangu, kila siku namquote namtaja jukwaani lakini anijibu moyo unauma namuona na wengine anacheka nao anawajibu PM kafunga...
Ni hayo tu wakuu. Wanawake ni viumbe wasiojua wanataka nini. Nimeaibika sana asubuhi ya leo. Uso wote umefubaa, hata huruma hakuona, tena hadharani😭
Nimeonekana mjinga wa Mwisho. Ee Mola, ni nini...
Picha linaanza dem mzuriiiiii shyombe shyombee pisi ya kwenda.
Mkiongea mkimya mtaratbu nikaona isiwe shida nijiweke.
Kweli akanielewa Fresh tumeanza safari yetu.
Onbed hana time she is like...
Niende moja kwa moja kwenye mada nisikuchoshe tusichoshane. Mi nilikua nikiona mtu analialia kisa mapenzi nilikua namuona bwege mtunzeni, nilikua nawaza mtu anawezaje kulia au mtu anawezaje kukosa...
Ni pamoja na mahitaji ya kila siku ndani ya nyumba kama vile chakula, mavazi na malazi kwa mama, baba na watoto, mahitaji muhimu ya kielimu na afya kwa familia nzima n.k
Lakini zaidi sana...
Wana JF wenzangu naomba ushauri,
Najua kuna wataalamu wengi wa ushauri. Nifanyeje mwenzenu mke wangu hataki kuzaa, yeye anataka tendo la ndoa tu.
Nimejaribu kumuuliza kwanini hataki kuzaa...
Nahitaji mwanaume wa kunitimizia hili na pia awe na shida na kama hii pia yaani naye anahitaji mtoto.
I have been so lonely, naamini mtoto atakuwa faraja yangu. Na kunisaidia kuishi maisha yenye...
Yaani members mlichokua mnanishauri kuhusu kumpenda boss wangu kumeanza kunitokea puani.
Yaani since nime have sex nae Ana act weird leo ananipenda kesho ananipotezea na haishii hapo anaongea na...
Nasemajeeee?
Huu ni ukweli ambao wengi wetu kwa kujua ama kutojua hatuusemi.
Ukiacha mila za jando na unyago, hizi kitchen parts zimethibitika kukosa msaada wa kutosha kuimarisha ndoa.
Tumeiga...
Wakuu nisiwachoshe sana ipo hivi.
Mimi ni kijana wa miaka 25 katika ukuaji wangu sikuwahi sana kujihusisha na masuala mahusiano yani kufanya kwangu mapenzi huwa ni nadra.
Kumaliza mwaka mmoja...
Habarini wakuu,
Hivi karibuni kumeibuka mjadala wa baadhi ya wanaume kukataa NDOA, (dronedrake ) muda huohuo pia kua baadhi ya wanaume wanakimbilia NDOA.
Jambo hili linaibua hisia za wanaume na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.