Natafuta Mke

actua

New Member
Dec 24, 2023
4
14
Hapa nakuja kwenu ndugu zangu najua hapa ni platform nzuri kuweza kupata mke serious hakika naimani hapa nitapata namna nahitaji mwenye mapenzi ya kweli
SIFA ZANGU
Miaka 36 now
Sina mtoto
Rangi nyeusi
Muislamu
Nina maisha pia nimeajiliwa
Sifa mwanamke ninaemtaka
Awe na mapenzi serious
Awe muislamu
Umri usizid miaka 35
Kazi sio muhimu ila akiwa nayo sawa tu
Inshalaah mwaka kesho Mungu atuweze tufunge ndoa kama upo tayar karibu tujenge familia bora
 
Kwa miaka 36 ulikua mfuasi mzuri wa KATAA NDOA lkn sasa naona umeamua kusanda, subiriasubiria kidogo angalau ifike 50
Tulia sio kila mtu kachelewa sababu ya kukataa ndoa nilikuwa natengeneza maisha mimi na nitakaemuoa tuqeze kuishi kwa furaha lakini kutengeneza kipato sasa niko vizur naweza kuoa sasa
 
Mwanaume anayetafuta mke mtandaoni! Kuna kaharufu ka utapeli au ndio domo zege??
 
Tulia sio kila mtu kachelewa sababu ya kukataa ndoa nilikuwa natengeneza maisha mimi na nitakaemuoa tuqeze kuishi kwa furaha lakini kutengeneza kipato sasa niko vizur naweza kuoa sasa
Haya kila la kheri
 
Asalam aleikum, kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kunipa uzima hakika ni faraja kupanda jukwaani kusema ya moyoni

Nahitaji mke wa kiislamu, sifa zingine ni za ziada nahitaji kuoa sasa kikubwa umri usiwe mkubwa sana, asizidi miaka 32 maana mimi nina miaka 35.

Inshalaah, pia mimi ni mtumishi wa serikali na sina mtoto.

Kkwa yeyote mwenye interest tuwasiliane PM, nipo serious baada ya mfungo ndoa inshalaah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom