Financial Security is to a woman, what sex is to a man

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,510
2,000
Habari,

I hope Tuesday zenu zaenda poa!

Nataka ku-clarify jambo moja to all the males in here....

Kuna vijimaneno maneno kuwa tunapenda pesa sana, ni wachunaji n.k. Mimi naomba niseme NI KWELI! Kinachokera ni wanaume kuongelea suala la sisi kupenda pesa kama vile ni crime. Yaani mwanadada akiweka maslahi mbele atasakamwa hadi basi. Lakini mbona nanyi ngono ndiyo priority kwenu na tunawapa tu?

Namna sisi tunachukulia pesa, ni vile nyie mnachukulia ngono. Si utani!

Kama ambavyo mwanamke akikunyima wenzio watakwambia "hakupendi" ndivyo na sisi mkiwa wabanaji wa pesa tunawaona hamtupendi vile vile.

Kama ambayo mnaumia mkisikia tumegawa nje, ndivyo nasi tunaumia saaaaanaaa tukisikia eti ulitembea na mwanamke na ukampa pesa. (Inauma sana)

Kama ambayo mkeo asipokupa K baada ya muda fulani unamtafutia msaidizi, ndivyo nasi tunatafuta msaidizi wa kutupa huduma mkilega kwenye kutoa mpunga.

Kama ambavyo wewe unaamua tu huyu mwanadada simpendi ila nitamtumia kwa ngono tu ndivyo nasi huwa kuna wanaume hatuwapendi tunawatumia kifedha tu.

Kama ambayo hutegemei mwanamke wako akumyime ngono muda wowote na kwa sababu yoyote, nasi hatutegemei wanaume wetu kutunyima pesa muda wowote na kwa sababu yoyote.

Kama ambavyo wewe una mikono ya kupiga punyeto na kukojoa ila bado unahitaji K ya mwanamke sababu ni tamu, ndivyo nasi tuna mikono ya kufanya kazi na kupata pesa ila bado tunahitaji pesa ya mwanaume sababu ni tamu.

Na mwisho, Kama ambavyo kuna wanaume wachache wanaoweza kuwa kwenye mahusiano na mwanamke bila ku-prioritize ngono, ndivyo kuna wanawake wachache wanaoweza kuwa kwenye mahusiano na wanaume bila ku-prioritize pesa.

Tuvumiliane, Tutimiziane!

Asante.
 

Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,529
2,000
Kwakweli usishindane na tajiri.

Mkeo akiamua kumchukua ni inawezekana mapema tu kama Zurie anavyosema kwamba atakua msaidizi.

Ukimuombea dua kwa Mungu halifikia maana huna hela ya kutoa sadaka.

Ukitaka kupigana naye anatumia hela zake kukukodia watu ili upigane nao ukiwaweza anakukodia polisi na kesi.

Na yeye dua lake linafika haraka kwa Mungu maana anatoa sadaka kila siku.
 

skyline tech

Member
Apr 9, 2021
15
75
Mimi anayekutumia kifedha bila kukupa ngono simtetei ila anayekupa K yake namtetea. MPE HELA!
Kukupa pesa sio inxhu ila the problem is unaniomba pesa katik mda gani...?

Ninekuaproach yesterday en today unaniomba pesaa oooh no no nooo..! I can't

Bt kma tuko kwa relation kwa mda mrefu mm ni nani nisikupe pesa..??

Kitu unachotakiwa kujua boys tunafeel proud kumpa pesa gals.. ila ni gals wa nmna gani huyooo...???

Sio tunatoa toa tu kizembee bila kujua tunapata nini...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom