Ni Mke wa mtu alikuwa mbabe sana. Alitaka kunipoteza roho yangu, ikanusurika.Ni Ngumu kumsahau


GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
5,772
Likes
9,845
Points
280
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
5,772 9,845 280
hili lidada tena bahati mbaya au nzuri lilikuwa ni li mke la mtu. pande la mdada hasa. nyuma limefunga trailer linavuta makontena mawili makubwa kabisa. halafu ni wide road.lilikuwa lina sura nzuri ya kitoto na ngozi laini miguu imejaa linapendeza ile mbaya. nikaanza kudate nalo ... siku nipo nalo home jamaa zangu wakawa wamenipigia maana nlikuwa nina ahadi nao.jamaa wamenipigia simu muda sipokei kumbe lilikuwa limeondoa sauti na vibration then likaificha simu.

basi wale jamaa wakaamua kuja kunipitia maana ilikuwa ijumaa jioni na ni sikukuu so hatukwenda kazini. jamaa walifika getini wanagonga wanapiga honi. lidada limefunga mlango linanambia "leo hutoki humu,huendi kokote..nimekuja hapa unit***e siku nzima hamna kutoka.nikamwambia basi hata nikawaone jamaa liligoma wakati huo limenikalia kiunoni.jamaa wakaamua kuondoka.

nakumbuka siku nyingine mi nipo kazini likapiga simu na kuniuliza upo wapi nikajibu nipo kazini.likanambia nakupa saa moja jiandae uage unifate Hotel XXX naenda kuchukua chumba. nilijitahidi kumbembeleza kuwa nipo tight kiasi flan.akanambia yeye anataka nikam***** so saa moja niwe pale. after nusu saa likapiga picha lipo hotelini kitandani bila nguo likanitumia whatsapp...kucheck hivi... aisee... nlimfuata mkubwa wangu wa kazi haraka sana na kumwomba ruhusa kuwa nimepata dharura.hakunifanyia hiyana maana sikuwa na tabia hiyo ya utoro. nlienda kupiga show mpaka saa mbili hoi.

hili lidada nililipenda maana hata wakati wa show linahamasisha libabe sana..linatoa matusi...lina piga kelele na kutoa matusi ya kibabe likifurahia na ni fujo chumba kizima yaani mnapiga show mpaka wenyewe mnajisikia kweli mmpeiga show.nakumbuka siku moja nilikuwa nalo then nina jamaa zangu wawili hivi tumekaa sehemu.akapita dada mmoja nikajisahau nikamwangalia sana kumbe liliniona.aliniwasha kibao mbele ya jamaa akili yangu ikakaa sawa. likanambia tu niseme yule dada ana nini ambacho yeye hawezi nipa. duh... nilijisikia vibaya sana mbele ya washkaji lakini nlipenda jinsi lilivyokuwa linajiamini..halafu likaanza kulia eti kuwa mimi nawezaje kumtizama mwanamke mwingine mbele yake.

basi tukatoka hapo muda huo linataka tuondoke...uelekeo wetu ukawa ni hotel ya karibu..huko ndo hasira zangu nlimalizia...kiukweli binafsi napenda sana wanawake wababe. wanawake wanaojiamini ambao wanaweza fanya maamuzi ya kustaajabisha kwa kujiamini kabisa. na hili limebak kuwa ni jambo ambalo siku zote nalikumbuka na lijidada nalo linaendelea kunikumbuka.issue ilikuja kuharibika baada ya mumewe kugundua maana yule dada alifikia hatua hakuweza tena ficha mapenzi yake kwangu. na mbaya mume aliogundua lidada lilikuwa radhi waachane ili nije nilioe.hapo ndo niliona shida inaanza kuwa kubwa.ni mdada ambaye tayari alikuwa na watoto wawili ameolewa kabisa kidini na kiserikali. ngevunjaje ndo ya watu?

taratibu nlianza kumkwepa na kumwomba asivunje ndoa...mpaka leo tunawasiliana na mara ya mwisho aliniomba sana niweze onana naye hata kwa masaa 5 tu niwe naye. nilimwambia kwa mke wa tu sipo radhi tena. maana mumewe alikuja kunitafuta na kunichimba beat kali sana ila kistaarabu.alinambia tu yeye amemwoa yule dada kwa miaka kadhaa na wana watoto wawili.itakuwa ngumu sana kumwacha achukuliwe na mwanaume mwingine isipokuwa itabidi kati yetu sisi watatu basi akubaliane na lolote litakalo tokea. nlimwelewa maana siku anaongea alikuwa anaongea akiwa ameshakata tamaa kuwa hakuja kunitishia ila tu kunambia kama mwanaume mwenzie kuwa yule ni mkewe. hapo nikaona isije ikawa ya sikio la kufa halisikii dawa.... siku hizi naepuka sana wake za watu maana nami nakaribia kuoa. nikipata tu mchumba haraka naoa na nawaambia kabisa vijana tutakuja kuonana wabaya. ntamvua mtu ngozi halafu nimwanike juani.
 
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
8,786
Likes
9,211
Points
280
sergio 5

sergio 5

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
8,786 9,211 280
Uyu mdada ana story za pwagu
 
CHE Raptino

CHE Raptino

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Messages
1,050
Likes
1,045
Points
280
Age
29
CHE Raptino

CHE Raptino

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2017
1,050 1,045 280
Duh, wewe endelea kumgegeda tu, gheto si una maziwa
 
Poise

Poise

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Messages
7,471
Likes
7,483
Points
280
Poise

Poise

JF-Expert Member
Joined May 31, 2016
7,471 7,483 280
Haa haaa haaaa.

GuDume , stories zako inabidi nikupe like na niandike comment kwanza kisha ndiyo nikasome.

Katika ubora wako hata sielewi huwa unawaza nini hadi unatunga stories za hivi.
 
BANGO JEUPE

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2015
Messages
2,036
Likes
814
Points
280
Age
29
BANGO JEUPE

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Joined Nov 21, 2015
2,036 814 280
We jamaa stori zako za mabalaa kila siku mademu wababe
 
greater G

greater G

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
311
Likes
213
Points
60
Age
43
greater G

greater G

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
311 213 60
Mkuu,nitumie namba zake plz,wanawake wa aina hiyo mi nawahitaji saana
 
Cajojo

Cajojo

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
4,514
Likes
4,962
Points
280
Cajojo

Cajojo

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
4,514 4,962 280
Safi sana GuDume story zako zinafurahisha na mwisho unatoa angalizo:D:D
 
winlicious

winlicious

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
664
Likes
503
Points
180
winlicious

winlicious

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
664 503 180
Haa haaa haaaa.

GuDume , stories zako inabidi nikupe like na niandike comment kwanza kisha ndiyo nikasome.

Katika ubora wako hata sielewi huwa unawaza nini hadi unatunga stories za hivi.
Stori zinafanana na Galadudu au ndio mwenyewe kwa ID tofauti?
 

Forum statistics

Threads 1,237,552
Members 475,552
Posts 29,293,044