Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wakubwa! Ningependa tujadili swala la wafanyakazi wa ndani al maaruf house girls. Wengi wetu, hasa wenye ndoa zao na walio wafanyakazi binafsi au serikalini tumekuwa na hitaji kubwa...
2 Reactions
35 Replies
5K Views
Nimeleta uzi huu MMU kwa sababu unaihusu jamii, hasa wanawake ambao kwa hili ni wahanga wakubwa. Wiki iliyopita wote tulimsikia mheshimiwa kabisa akitoa tamko kuwa mtoto wa kike aliyeko shule...
3 Reactions
63 Replies
8K Views
Habari, mimi nimeoa nina mke na nimezaa nae watoto wa nne, mke wangu ni mzaliwa wa Tanga, kuna mistake ambayo nilifanya nilijikuta natoka nje ya ndoa yangu na kuanzisha mahusiano na binti mwingine...
2 Reactions
52 Replies
3K Views
Hello members! Kuna kitu kilitokea na binafsi kilinishangaza sana kwakweli ila usiniulize nikitu gani. Ni kuhusu wingi au uchache wa shahawa za mwanaume. Ni nini husababisha mwanaume kutoa...
4 Reactions
96 Replies
16K Views
Naombeni ushauri juu ya kumsahau mpenzi wa zamani ambaye tulipendana sana. Huwa tunapigiana simu, kuchat kwa sms na mengine kibao tukikumbushia zamani kitu ambacho naona si kizuri kabisa ilhali...
4 Reactions
102 Replies
20K Views
Kuna wanawake wachache ambao wana weza kudate na maskini ila ni wachache sana ambao wanaweza kuolewa na kijana masikini. Mara nyingi msichana ambaye ana date na masikini kuna kitu anakuwa...
6 Reactions
48 Replies
9K Views
Kuna wimbi la baadhi ya vijana siku hizi kupenda kutoka na wake za watu. Imekuwa kama "fashion" hivi, hata baadhi hudiriki kujisifia kuwa wana mahusiano na wake za vibosile. Naelewa wapo vijana...
5 Reactions
128 Replies
14K Views
Sipende kupoteza muda, hope mkovizuri. Nimekua na hamu ya kufanya mapenzi, lakini mazingira + muda = 0. Nijaribu kupiga nyeto mara 2, na mara zote ninapo fikia kutema nyongo lazima nianguke. 1-...
1 Reactions
59 Replies
5K Views
Habarini wana Jamvi. Mwaka 2022 nikiwa site za barabara huko Malinyi ndani ndani mkoani morogoro ilitokea Nikazaa na Binti mmoja wa kisukuma (Alikuwa na Mzigo balaa) ili hali nina mke na mtoto...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwanza nawasalimu, Ndugu zangu mke wangu anachofanya ni hatari sana na inaumiza , wakati namchumbia hadi ndoa hakuwahi kujamba hata siku moja, sasa baada ya mwaka mmoja kwenye ndoa hii tabia...
4 Reactions
97 Replies
18K Views
Habarini wanajukwa, jukwaa pendwa zaidi jf, MMU..... MMU for real. Yamkini zimebaki siku chache kabla ya kuanza mwaka mwingine mpya, tumshukuru M/Mungu kwa kutufikisha paka hapa tulipo na panapo...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, hali hii hunipata mara kwa mara panapo tokea mkwaruzano kwa Ke ninaempenda. Hata kosa dogo tu nimekua nakasirika hadi mapigo ya moyo huongezeka. Je, nifanyeje ilikuepukana na hali...
1 Reactions
68 Replies
6K Views
Nimejiuliza sana hiki kitu na nikashindwa kupata majibu sahihi na nikaona nishee na wanaJamii wenzangu labda kuna jibu ama maelezo sahihi Weekend iliyopita kwenye mida ya saa tano asubuhi...
12 Reactions
248 Replies
20K Views
Habari za uzima wanajamii, Leo nimekuja na hili mnisaidie ushauri maana wakati wote naamini humu ndani kuna wazoefu na wenye hekima busara na ushauri wa kumrudishia hadhi mtu aliepatwa na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wakuu na poleni na majonzi ya kumuenzi muasisi wa Taifa letu. Hivi hii ni ishara gani mana nikifikiria hata simuelewi huyu bibi. Kuna bibi mmoja ambaye ni ndugu yake mwenye nyumba hapo...
1 Reactions
316 Replies
26K Views
Start each day with a kiss Wear your wedding ring at all the times Date once a week Accept differences Be polite Be gentle Give gifts Do what the other person wants before he or she asks...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Ishu ya usawa wa kijinsia umeshika kasi sasa hivi, wanaume wananyanyasika na wake zao sana
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Wadada tuliomuapia Mungu kwa jina lake hata itokee vipi hatutakaa kamwe kutembea na mume na mtu mkuje jameni. Umekaa zako una stress za hela afu kuna mume wa mtu mtaa wajirani anaanza kukutext...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Ladies and gentlemen, habari zenu!! Ivi kwa nini wengi wetu hatuwezi kudumu katika uhusiano bila kufanya ngono/mapenzi hadi tukioana? Hata walokole uvumilivu unawashinda jamani, yani mnatongozana...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari yako ndugu msomaji. Hili ni swali la kizazi cha leo, watu wengi wamelijibu kutokana na hisia zao na sababu mbali mbali zisizo na ukweli. Leo tulijibu katika uhalisia wake. Kabla hujajibu...
12 Reactions
189 Replies
16K Views
Back
Top Bottom