Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,263
- 183,157
Naombeni ushauri juu ya kumsahau mpenzi wa zamani ambaye tulipendana sana. Huwa tunapigiana simu, kuchat kwa sms na mengine kibao tukikumbushia zamani kitu ambacho naona si kizuri kabisa ilhali yey anampz mwingne.
Nifanyeje ili niwweze kumsahau kabisa?
Nifanyeje ili niwweze kumsahau kabisa?