Wadada jamaeni mkuje...

Wadada jamaeni mkuje...

Joined
Mar 6, 2015
Posts
70
Reaction score
221
Wadada tuliomuapia Mungu kwa jina lake hata itokee vipi hatutakaa kamwe kutembea na mume na mtu mkuje jameni. Umekaa zako una stress za hela afu kuna mume wa mtu mtaa wajirani anaanza kukutext. Mnachati weeeee anakuhoji maswali unajieleza shida zako halafu baadaye anakuambia kuhusu hela usiwaze uje sehemu ntakupatia million ya mtaji

Unaguna mhhh million hela? Unampotezea. Mnaendelea kuchati day to day bila mafanikio. Siku moja unakuta text namba ipi inatumia mpesa? Jibu la kishujaa ii ninayotumia. Mala paap. JKB27LH mpesa imethibitishwa umpokea laki mbili kutoka kwa Fulani bin Fulani afu inafwata text njoo umalizie iliobaki. Nimejibu vzuri sana nakuja Sasa ivi ili asije hailisha muamala.

Kiukweli laki mbili nimeenda mpesa kuitoa fasta.... ila kwenda siendi na nimemla block. Msimamo wetu ni ule ule hatutembei na waume za watu ila hela wakitum ni Mali ya laini yangu na ntaenda mpesa fasta kutoa. Hata tukizeeka bila kuolewa fresh tu kwanza siku izi wanolewa January wanaachana December

Hela tunakula ila hatuji ng'ooooooooooo (Kama tulivokubaliana kwenye kikao chetu we date singles, divorced with papers na wagane tu. Hawa wengine ni kula hela zao tu)
 
Watakusapoti lakini mkitoka hapa mmojawapo anakuja kula kiutu uzima kabisa halafu wewe unajiona mjanja kula hiyo laki mbili yangu.
 
Hongeren kama mna msimamo huo, sio vizur kutembea na waume za watu. Kama ni pesa labda ni kweli wanazo nyingi za kutapanya namna hiyo.
 
Sasa nikuambie tu huyu msela aliyokupa hiyo 200K ana akili mnoo sasa ipo siku utajua hujui ngoja ukame wa pesa ukufuate ndiyo utajua na round hiyo jamaa atakuwa siyo boya.
 
Back
Top Bottom