Ladies and gentlemen tujadili hili. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ladies and gentlemen tujadili hili.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by WALIMWEUSI, Mar 27, 2012.

 1. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Ladies and gentlemen, habari zenu!!

  Ivi kwa nini wengi wetu hatuwezi kudumu katika uhusiano bila kufanya ngono/mapenzi hadi tukioana? Hata walokole uvumilivu unawashinda jamani, yani mnatongozana leo baada ya wiki mnapeana mambo, kwa nini tushindwe kuabstain hadi ndoa?Ebu kwa ambao wameweza hii kitu watupe uzoefu sie ambao bado hatujafikia umri/hatujajiandaa kuoa/olewa tufanyeje ili waoaji/waolewaji tuwapate wenza mabikra, tuenende na mafundisho ya dini zetu na tufikie lengo la Tanzania bila Ukimwi?

  Nawasilisha.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Haiwezekani, lazima mjuane kwanza. Hakuna kuuziwa mbuzi kwenye gunia meeeeen!
   
 3. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Dah, hadi walokole meen! Mbona kwenye biblia na msaafu tunakatazwa men, au ndo shake before use!
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kauliza kule unakoamini watakupa mbinu, hapa njoo ukiwa wameshakutenda ndo tutakuelimisha.

  Sie kazi yetu ni kutabiri mechi zilizokwisha chezwa na si yajayo.

  Mbona misahafu iko clear kabisa?
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  kwani walokole hawana hisia meeen? Au wakiokoka wanapewa roho za malaika meeen?
   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  hasomi misahafu huyu.
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  tunajiendekeza
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hivi ni kwa nini ukiuziwa kondoo usifungiwe kwenye gunia kabisa akiwa sealed......mpaka tumbinue tuangalie na mkia kama umenona na nini na nini....hivi kwa nini....?
   
 9. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kweli kabisaa, unajiendekeza jamani, why cant we change? Ila sijui ni lini tutabadilika mana watu hata hiyo ngono/mapenzi palipohalalishwa tu siku hizi hapatumiki, watu wameshachakachua long time! may God forgive us!
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwasababu wahusika hawataki. . . kama wewe unataka subiria bila kuuliza "iweje jirani nae hajafanya kama mimi??".
   
 11. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli ni kwenye kila jambo binadamu tumezidi kuziachia hisia zetu zituongoze..hadi kuna msemo watu watakuambia 'follow your heart' wakati bible inasema clear our own hearts deceives us! Matumizi ya ubongo yanazidi kupungua siku hadi siku....
   
 12. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ngumu sana kusubiri hadi ndoa! Ukikuta ni incompatible je!? Inakula kwako!!
   
 13. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,729
  Likes Received: 8,312
  Trophy Points: 280
  kwa wote tunaokataa ni kwa sababau tumeshado before..ila jaribu kukumbuka kipindi kile kabla! uliona everything is possible..
  so mi nadhani ni more of utandawazi uliotuaffect...everything nowadays is about sex, revolves around sex...is sexy!
  ukiweza kuepuka kufikiria abt sex though, utakuwa umevuka a milestone katika kuji-keep pure! usifikirie mwenzangu ana enjoy vipi? au sasa kama kila mtu anafanya kwanini mimi? yani dont raise any doubts within urself...hapo tu ndo utaweza!
  otherwise, itakuwa ngumu ukishaonja tu mara moja...weeeeeee..utawapanga hata kumi kwa siku...#experience!
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mentor hata ambao walisha'do' bado wapo wanaoweza kusubiri, sema tu watu hawataki kuanza kulalamika na kulalamikiana wakati wameshafunga pingu.
   
 15. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  one thing i have come to realize abt ppl who abstain tend to be masters of m.a.s.t.u.r.bation.
  sasa ya nini ujiweke kwenye hilo kundi wakati unaweza kupata kitu.
   
 16. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  na kweli usije kukutana na kitu kama goti ukashindwa kimbia
   
 17. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  uzuri ni kwamba, at the end of the day, kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe... so, anayetaka ku-abstain ruksa, anayetaka kuonja ruksa pia
   
 18. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Mi mpaka sasa navumilia. Ni kitu kinachowezekana kabisa. Kama mnabisha basi msichana au mwanamke yoyote yule ajaribu kunipatia na haone kama nitakubali.
   
 19. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33

  ...good.....
   
 20. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,149
  Likes Received: 23,848
  Trophy Points: 280
  Ni kwa sababu utamu wa kondoo ni mkia wake, kwa hiyo shurti uukague kama umenona!.
   
Loading...