sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,160
- 48,367
Habarini wanajukwa, jukwaa pendwa zaidi jf, MMU.....
MMU for real.
Yamkini zimebaki siku chache kabla ya kuanza mwaka mwingine mpya, tumshukuru M/Mungu kwa kutufikisha paka hapa tulipo na panapo majaliwa atubariki tufike mwaka 2016.
Kila inapofika kipindi cha mwisho wa mwaka ni kipindi cha kutafakari mafanikio ya mwaka mzima na pia changamoto ambazo kwa namna moja au nyingine zimeshindwa kufikia leo, kisha kupanga mipango mingine.
Pamoja na hayo yote pia ni wakati mzuri wa kupeana ushauri na mawazo mapya ambayo kwa namna moja au nyingine huenda yakabadili maisha ya mtu kwa ujumla na kuleta mafanikio chanya katika jamii husika.
Hivyo basi nikiwa kama kijana napenda kujumuika na vijana wenzangu kupeana ushauri juu ya mambo mbalimbali ambayo kwa namna moja tunaweza kuyatatua kwavile yapo ndani ya uwezo wetu, ambayo hutokana na either uzembe, ujinga, makusudi ama kutokujua.
Mengi ya mambo hayo sio mara ya kwanza kusikia yakikatazwa, ni mara nyingi yamekuwa yakikatazwa na kuonywa humu jukwaani ila tunayapuuza.
Huwa naumia saana kusoma comment za wakina evelyn salt, preta na badili tabia wakisema wanaume wamebak wachache wengi wanaume surual na maneno mengine ya ajabu ajabu.
Ingawa sio wote wanamatatizo, lakini huwa najiuliza kwanini wanaume hatubadiliki? Kwanini tunafanya mambo paka imefikia hatua upande wa pili wanatudharau wengiwetu? Alafu tunachukulia kawaida tuu?
Kuna baadhi ya tabia zinakera mnoo, sio nzuri hata kidogo lakin tunachukulia kawaida tuu, tafadhali tuanze mwaka na mambo mapya tuache
~Kuchepuka, najua ni jambo gumu kunielewa ila inauma saana (wanawae) pale ambapo amekukabidhi mapenzi na moyo wake alafu unamsaliti, tuanze mwaka kwa kuipiga chini michepuko yoote, tuwe waaminifu kwa wapenzi wetu, kuchepuka sio solution za changamoto za huyo uliyenae.
Maranyingi dhana ya kuchepuka kwanza inatokana na peer group kushawishiana na kujijengea dhana kwamba kuchepuka ni jambo la kawaida,
Tujitahidi kuwa problem solvers katika mahusiano, na sio ukikuta tuu changamoto basi kimbilio mchepuko
~Tuwe responsible men, tuwe wawajibikaji katika mahusiano na katika ndoa(nsingependa kuzungumzia sana wenye ndoa) but kwa sie tulio inrelationship either bubu au rasmi, tujitahidi kutimiza majukum yetu ya msingi na kuacha kuwa walalamikaji na kulia lia, na wakwepaji wa majukum. wanawake wanahitaji kutunzwa interm muda, kuajali, kuwasikiliza, n.k
Hakuna raha kama vile kutimiza majukum yako, alafu mwanamke nae vile vile.
Wanaume tujiamini, tuwe na msimamo, tuwe mfano katika jamii....
Mtaniwia radhi kwa maelezo marefu.....
Binafsi naamini wanaume tukisimama imara mahusiano yanakuwa imara zaidi, tunanguvu kubwa mno ya kushawishi kujenga mahusiano yaliyo bora zaidi, tukisimamma imara tunaweza ondoa kabisa dhana ambayo inazid kujengeka jinsi watu wanavyoyachukulia mapenzi na mahusiano kwa ujumla kwamba ni kudanganyana n.k...
Calm on men, let make changes....
Wana MMU ni yepi mngependa muyaone kutoka kwa wanaume 2016? Yapi mengineyo tuyaache?