Ni nini husababisha mwanaume kuridhika kimapenzi kwa kugusa viungo vya mwanamke?

Mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
61,744
155,600
Hello members!
Kuna kitu kilitokea na binafsi kilinishangaza sana kwakweli ila usiniulize nikitu gani.

Ni kuhusu wingi au uchache wa shahawa za mwanaume. Ni nini husababisha mwanaume kutoa shahawa kidogo sana yani kiduchuuuuuu! Au nyingi sana??
Na nini husababisha mwanaume kuridhika mapema au haraka sana hata tu anapogusa kiungo fulani cha mwanamke

Mfano unakuta akigusisha uume wake kwenye tako juu juu tu anaridhika. Au mkono wake ukigusa kiuno cha mwanamke tu anamaliza.
Ni nini sababu kuu ya hivi?? !
 
Hii hali ipo sana kuna wanaume wao wakionyeshwa tu hata kabla ya kuingiza tayari ameshafika. Kuna jamaa mmoja alipiga demu saundi akakubaliwa akaenda na yule demu geto baada ya manjonjo ya hapa na pale demu akaanza kufua nguo kwa ajili ya mtanange lakini alistaajabu ya musa baada ya kumuona jamaa akisinzia kwa uchovu kumbe yeye alishafika kitambo wakati wa mpapasao ila daa usiombe yakukute kama mwanaume aisee hiyo ni aibu ya karne
 
Sasa tatizo hapo nini?? Mfano mtu kagusa tu unasikia kabisa anavolalamika na kuhangaika anapotaka kumaliza!!
 
Anakuwa so high sexual aroused,very high infact,
uende nae polepole,kama akimaliza hivyo anakuwa hana hamu then msubiri kwa mda aweza kuwa anzajihisi guilt,ndo maana anashindwa kurudia papo kwa papo,
msubiri hata nusu saa then mpe blowjob matata sana ,mnara lazima usome,IKISIMAMA PANDA
 
Tehteh nimependa zaidi hapo kwenye ikisimama panda.. Sante
 
Kinachosababisha mwanaume kumwaga haraka ni moja kati ya haya:
1.Punyeto
2.Kukaa mda mrefu bila kufanya mapenzi
3.Hofu/woga
4.Kuangalia filamu za ngono mara kwa mara
5.Kukosa nguvu kutokana na kula vyakula vya ovyo kama vile chips yai
6.Kuwa na mzuka uliopitiliza
7.Kutokuamini kama mudada amekubali kutoa papuchi kirahisi hivyo
 
Kinachosababisha mwanaume kumwaga haraka ni moja kati ya haya:
1.Punyeto
2.Kukaa mda mrefu bila kufanya mapenzi
3.Hofu/woga
4.Kuangalia filamu za ngono mara kwa mara
5.Kukosa nguvu kutokana na kula vyakula ovyo kama vile chips yai
6.Kuwa na mzuka uliopitiliza
7.Kutokuamini kama mudada amekubali kutoa papuchi kirahisi hivyo
Ahaa kumbe. Badae nitasema kitu
 
Ok I got you.. Usijali nimesema badae nitasema tena kitu hapohapo kwenye hizo sababu. Asante

Hello members!
Kuna kitu kilitokea na binafsi kilinishangaza kilinishangaza sana kwakweli ila usiniulize nikitu gani.
Ni kuhusu uwingi Au uchache wa shahawa za mwanaume. Ninini husababisha mwanaume kutoa shahawa kidogo sana yani kiduchuuuuuu! Au nyingi sana?? Na nini husababisha mwanaume kuridhika mapema au haraka sana hata tu anapogusa kiungo fulani cha mwanamke mfano unakuta akigusisha uume wake kwenye tako juu juu tu anaridhika. Au mkono wake ukigusa kiuno cha mwanamke tu anamaliza.
Ninini sababu kuu yahivi?? !

Ha ha ha, ngoja tusubiri, ila ni kama tayari ushasema.
 
Back
Top Bottom