Wanawake wamechachamaa

Wanawake wamechachamaa

Jamaa alikuwa anataka kukimbia bila kumlipa huyo jimama nini?
Du!...Hakopwi mtu hapo!
 
wasubiri waje kwenye hii post yako uone utakavyozidi kunyanyasika... :boink:
 
Jamaa alikuwa anataka kukimbia bila kumlipa huyo jimama nini?
Du!...Hakopwi mtu hapo!

Hahahaha jamaa alitaka kukurupuka mama kamkwida sawa sawa jamaa kanywea
 


Ishu ya usawa wa kijinsia umeshika kasi sasa hivi, wanaume wananyanyasika na wake zao sana
​


Hahahahhahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa!.............daah .......ujanja wote mfukoni.....
 


Ishu ya usawa wa kijinsia umeshika kasi sasa hivi, wanaume wananyanyasika na wake zao sana
​
mwenye fulana ni bishanga akiwa amekabwa kisawasawa na kongosho,hiyo ni baada ya kutaka kutoka asubuhi jana nyumbani bila kuacha hela ya mboga,no wonder konnie alikula ban jana shauri ya kisirani. Nnna shida jamani,nani wa kuniokoa?
 
Jamaa kwa nini kanyosha mikono juu?
 
Mmmmmhh mwanaume amesahau wajibu wake shurti ashikwe shati....
 
Kweli inatakiwa babu Asprin amsaidie Bishanga jamani!

Mzembe amezoea kukopa akafikiri vikojoleo navyo vinakopwa. Acha azibuliwe, kama hana hela mamaa amlipizie hata kwa gunzi. Unafikiri kuchokonolewa na mshobobo kazi ndogo eh?
 
Back
Top Bottom