Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika harakati hizi za mahusiano huenda ulishawahi kuchepuka, Jje ulishawahi kujutia uamuzi huo? Tupeane uzoefu. Binafsi nilikutana na kicheche/kichefuchefu kinaomba hela 24 /7 yaani bajet yake...
5 Reactions
169 Replies
25K Views
1. Ishi kwa kumtegemea Mungu 2. Weka akiba ya fedha bank 3. Tafuta mpenz mmoja sahihi, atakaekuwa mshaur kwako 4. Anza maisha ya kujitegemea na sio kuishi kwa...
15 Reactions
26 Replies
6K Views
Hali hii hutokana na nini? Utakuta mtu ni wa hadhi ya kawaida tu,hana pesa ya kutisha wala sura ya kuvutia kiviile,lakini kila siku anawapanga wadada mstari,sometimes hadi wanafumaniana na...
2 Reactions
58 Replies
12K Views
Habari zenu waungwana.. Mimi nina rafiki yangu wa kiume ambaye ana classmet wake waliosoma pamoja alikuja kumtembelea huyo rafiki.. Jamaa akanimezea mate akamuuliza jamaa huyo binti ana mtu...
2 Reactions
123 Replies
11K Views
Najua wengi hamnikumbuki humu, ila isiwe shida, HIVI kwanini wanaume hata iweje michepuko hatuachi?? utajitahidi miezi kadhaa lakini hamadi, unajikuta ushapiga kimchepuko.Kila siku watu...
8 Reactions
132 Replies
12K Views
Leo ndio nimegundua kuwa kwanini vijana wengi hawaachi hii kitu? Na kila siku idadi ya watumiaji inaongezeka Leo nilikuw mechili getto alone daah!! Ghafula nikapata hamu ya kupiga nyeto ikaja na...
8 Reactions
45 Replies
2K Views
Ni kisa cha kweli kilichompata Jirani yangu hapa, alikuwa akiishi na mwanamke ambaye yeye anasema alikuwa ameokoka na mara nyingi alipokuwa akichelewa kurudi kutoka kazini au yule mwanamke...
16 Reactions
121 Replies
14K Views
Habari yenu wakuu, Nina siku kibao sijaja hapa MMU kusabahi, hivyo nmeona leo nije tupeane maujanja ya kuwafurahisha Viumbe wetu waliotoka ubavuni mwetu. Tujaribu kuziangalia Baadhi ya Sehemu...
19 Reactions
164 Replies
260K Views
Leo nimeshuhudia kitendo ambacho hadi sasa nahisi kuchanganyikiwa. Nimepanda mwendokasi natoka Kariakoo kwenda Ubungo kiti chanyuma. Magomeni kaingia mtoto mzuri hatari alafu ana shepu balaa tako...
18 Reactions
271 Replies
75K Views
Jamani dada zetu eeh leo ngoja tuwaambie, kwanza kuolewa ni heshima sana na ukimuona mtu anakuoa kwanza kakueshimu sana kama mlikuwa hamjui. Sasa basi sisi wanaume tunamuogopa sana mwanamke...
41 Reactions
523 Replies
56K Views
Ni rafiki yangu sana zaidi ya ndugu. Amenieleza tatizo hilo la kuota ndoto za kufanya ngono na ngedere na hajui tafsiri ya hizi ndoto ambazo zimefululiza kumtokea mwaka huu. Mwenye utaalamu au...
2 Reactions
68 Replies
11K Views
Wasalaam mabibi na mabwana, Enyi wanaume, leo naomba niwausie kuhusu michepuko! Shetani ameingia kwenye nyumba nyingi sasa mnaona kama fasheni kuwa na michepuko. Amini kwamba hakuna mchepuko...
7 Reactions
208 Replies
13K Views
Miaka kadhaa nyuma, asubuhi siku ya jumapili, niliamshwa kwa kelele zisizo za kawaida, watu kadhaa walikuwa wakigonga mlango, japo nilikuwa chumbani lakini ugongaji ule wa mlango haukuwa wa...
16 Reactions
16 Replies
5K Views
Jamani akina dada kuolewa ni heshima kubwa sana kwa mwanamke yeyote yule. Hata uwe na maisha ya kifahari kiasi gani kama huna mume hujakamilika. Ili uolewe kuna mikao (pose) unatakiwa kuwa nayo...
19 Reactions
138 Replies
23K Views
Mimi ni kijana tuu nafanya kazi nzuri tuu na vitega uchumi tu vya kutosha ,,,elimu yangu saizi ni master ,ila Nina degree kutoka mzumbe,,na nikasoma school of law na saizi ni master yangu tatizo...
1 Reactions
54 Replies
11K Views
Habari zenu wanaJamiiForums, Leo nimegundua kumbe karibia wanawake wanapenda wawe na makalio makubwa nilikuwa sehemu akapita mwanamke mwenye shehena ya maana yaani zinga la furushi huko nyuma...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Nyie Dada zetu unakubali vipi mwanaume akupige eti kisa umemkosea.. Nakuuliza yeye huyo mwanaume umewahi kumpiga akikukosea? $ikia Dada husikubali kupigwa na mwanaume. Km mchumba wako anakupiga...
8 Reactions
384 Replies
24K Views
Prof. Kapuya ana umri wa miaka 76 lkn ameoa mke mwenye miaka 25, mimi nina miaka 39 mke wangu ana miaka 33. Kitendo cha mimi kuwa na mke mzee kiasi hiki ambaye kiumri anaweza kuwa sawa na mama wa...
12 Reactions
71 Replies
10K Views
Mwezi huu nimetongoza wanawake wasiopungua 20; ila kila lmtongozo wawili ndo wamenitolea nje kwamba straight foward kwamba haiwezekami nmekutana nao on sport kuchukua namba tu wanapata mtongozo so...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Kwangu nikichagua demu wa kumla naangalia kwanza kama ana supu supu, na shape ya kunishawishi, Na uzuri ni kwamba mademu wa siku hizi zaidi ya asilimia 90 wamejaliwa kuwa na supu supu, tako...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom