Naombeni msaada tena ,,Napendwa sana na mademu/wanawake wabaya kwa sura

Kidume cha mbegu

JF-Expert Member
Jun 14, 2015
1,251
709
Mimi ni kijana tuu nafanya kazi nzuri tuu na vitega uchumi tu vya kutosha ,,,elimu yangu saizi ni master ,ila Nina degree kutoka mzumbe,,na nikasoma school of law na saizi ni master yangu tatizo kila nikimpenda demu mzuri anazinguwaa ila haya mademu wabaya aiiiseee wananipenda sana hadi najuta,,,,,
Sasa nauliza kwanini Mimi nipendwe na vidada/wanawake wabaya wabaya tuu aiiiseee hivi tatizo ni nini?
 
Njoo pm
 
Mama yako ni mzuri? Nina 'Mastaz' ya chuo cha Mbegani!
 
Mimi ni kijana tuu nafanya kazi nzuri tuu na vitega uchumi tu vya kutosha ,,,elimu yangu saizi ni master ,ila Nina degree kutoka mzumbe,,na nikasoma school of law na saizi ni master yangu tatizo kila nikimpenda demu mzuri anazinguwaa ila haya mademu wabaya aiiiseee wananipenda sana hadi najuta,,,,,
Sasa nauliza kwanini Mimi nipendwe na vidada/wanawake wabaya wabaya tuu aiiiseee hivi tatizo ni nini?

Wanakuaga watam hao wakati unaanza unakua unajificha dadadeki lakini ukikutana nayaliyomo unajikuta ushaweka mambo hadhalani komaa nao tu mkuu
 
Mimi ni kijana tuu nafanya kazi nzuri tuu na vitega uchumi tu vya kutosha ,,,elimu yangu saizi ni master ,ila Nina degree kutoka mzumbe,,na nikasoma school of law na saizi ni master yangu tatizo kila nikimpenda demu mzuri anazinguwaa ila haya mademu wabaya aiiiseee wananipenda sana hadi najuta,,,,,
Sasa nauliza kwanini Mimi nipendwe na vidada/wanawake wabaya wabaya tuu aiiiseee hivi tatizo ni nini?
usiseme sura mbaya unakufuru,hakuna aliyejiumba,sema wana sura za kazi
 
Back
Top Bottom