Chunguza then come with ur own opinion. Mimi nimegundua wanawake wenye sura zinazo fanana na za wanaume wanakuwa na akili zaidi darasani ukilinganisha na wale warembo ambao wanaamini kuwa uzuri...
Bila kupoteza muda mimi nimekuwa sipendi na nawachukia mademu wafupi kama nyundo aka mbuti from ituri forests!
Kwanza hata ukitembea naye barabarani haileti mvuto kabisa hata kumpiga kiss lazima...
Wadau zangu hebu naombeni mnisaidie inawezekana tupo wengi watu wa namna hiii mtupe ushauli
Ivi kutokana hali ya maisha ilivyokuwa hadi sasa na mfumo wa maisha umebadilika.
Ivi kuna umuhimu...
Habari.mwaka Jana nilikuja na thread haapa ya kusaka mwenza ambaye ana maambukizii kama mimi.ninashukuru wooote mlionifata pm !!wengine tuliishia kuchart ,wengine tulipotezeana kiaina,kuna huyoo...
Shem wangu ananipenda mpaka nimejua. Ni dada wa mke wangu ila kwa maumbile yake anaonekana mdogo kuliko mke wangu.
Mimi nime 'change anyhows' sijui nifanyeje. Namtamani lakini si vizuri...
Ni aibu sana kwa mtoto wa kiume kukaa na kusubiri kutokewa au kutongozwa na mwanamke,ni upuuzi wa hali ya juu yani wanaume sijui mmekuwaje siku hizi yani mnatamani kila kitu chetu sisi wanawake na...
Kwa ninavyoona wanavyotumika hivi, nikioa mwanachuo yabidi nipimwe mkojo.
Wakina dada wa chuo hamuoneagi huruma huo mwili wenu? Popote unatumika tu si hostel, geto za masela au gest .
Yani kisa...
Msichana wako akikuacha baada ya kukukamata umechepuka mara moja.nunuwa zawadi nyingi mpelekee mama yako usitake kujua amedumu vipi na dingi miaka yote na kawalea mmekua na familia iko imara kwa...
Kuna mwanamke furani ivi ni mwanamke wa ndoto zangu nampenda na yeye ananipenda ila cmwelewi kwenye cmu kasevu mpenzi mwingne alaf kdume nkajijua ndo mimi kumbe cyo kudadadeki, ivi inakuaje hawa...
Kwanza picha linaanza Ile style yake ya mbuzi kagoma lahaula nusu nimwage ubongo wakuu nikajikuta nalia huku nauma meno wigi la nywele lake aisee huyu binti ni mnoma Sana aisee na kwenye kukatika...
Kwema wakuu?
Kuna binti ambaye ni mwaka mmoja sasa toka nianze kumfuatilia. Nampenda, kwanza nilitumia kiasi cha kama 1M hivi jumla kwa ajili ya kumpa kwa matumizi yake mbalimbali kama rafiki tu...
Hello wanaJF
Mimi ni miongonI mwa wanaume waliooa wakiwa na umri mdogo.
Nikiwa na miaka 22 nilianzisha uhusiano na mwanamke X tulipendana saaana, mkwe (mama) alipogundua nina mahusiano na mwanae...
Habari wana jamii forums [emoji1366]
Let’s chat for fun boys and girls ukiulizwa muda mda huu body count yako inasoma ngapi utakuwa na kumbukumbu boys au girls wangapi umelala nao mpka sasa?
For...
Jumamosi ya leo kwangu ni njema sana! Namshukuru Mungu wa mbinguni, pole sana kwa ndugu zetu mnaopitia magumu, Mungu atawasaidia aminini.
Wakuu ni muda wa miaka kadhaa nilikuwa na binti mmoja...
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba...
Anyways turudi kwenye swala la msingi bhna ndugu zangu wahenga waliposema ukistaajabu ya musa waliona mbali.
Si kuna danga nikalipata bana, tulikuatana tu kweye family event( walilelewa pamoja na...
Habari wana MMU,Mimi ni kijana katika pitapita zangu kwenye mahusiano kuna kama wadada wa3 nliotembea nao kunakitu walikuwa wananiambia nikama vinafanana nikajaribu kuwauliza kilamtu alipajibu la...
Habari wapendwa, hebu tuzungumzie hii kitu kidogo najua kuna Magreat thinkers kibao humu ndani!
"Wahenga walisema Mapenzi hayachagui pesa Wala elimu" Huu msemo some time naweza sema ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.