Kupendwa na wanawake, je ni u 'handsome' au?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Hali hii hutokana na nini? Utakuta mtu ni wa hadhi ya kawaida tu,hana pesa ya kutisha wala sura ya kuvutia kiviile,lakini kila siku anawapanga wadada mstari,sometimes hadi wanafumaniana na kupigana lakini wapi,hii ni technical commettee au?:rolleyes:
 
hali hii hutokana na nini?utakuta mtu ni wa hadhi ya kawaida tu,hana pesa ya kutisha wala sura ya kuvutia kiviile,lakini kila siku anawapanga wadada mstari,sometimes hadi wanafumaniana na kupigana lakini wapi,hii ni technical commettee au?:rolleyes:
Hapo kuna mapenzi ya dhati kweli ya kutoka pande zote? Anawarubuni kwa maneno mpaka waamini ni wao tu ndio wana uhusiano naye mpaka akija kutana na mwenzake ndio hapo wanamgombea bado akiamini anapendwa yeye pekee.
 
Attraction is not a choice....ndo maana inaitwa ku fall in love
sio ku choose to love

ukiwa na attraction....wadada watakufuata tu...
na attraction sio sura tu hata character ...
naona kama kuna ka ukweli vile....!
 
Back
Top Bottom