Miaka ya nyuma nilikuwa na biashara yangu ikawa inapata ugumu wa ushindani.
Mjinga mmoja akaniambia twende Handeni lwa babu ukaiboost. Nilichoamini sasa, hawa mawitch doctor nao wana areas of...
Pia akampa mfano, "unaona pale kwenye banda la mbuzi, si unaona kuna madume matatu ila majike 38?"
Vivyo hivyo na kwa wanyama wengine kama simba, dume moja huwa na kundi la majike, na huo ndo...
Ni faida au hasara gani mtu mke au mtu mume anaeweza kuzipata endapo atakurupuka, atalazimisha au kulazimishwa kufunga ndoa kwa maana ya kuoa au kuolewa?🐒
Kuna wakati nawaza hivi wanaume wana ugonjwa upi kwenye makalio ya mwanamke? maana ukitaka kujua ugojwa wa mwanaume ni uwe na kalio la maana upite mbele yao hii mpaka utaona kero maana minongono...
Wakuu salama,
Natumai MUNGU amewaamsha salama na tuko katika mapambano ya maisha! Kwa wale wagonjwa MUNGU awape wepesi mpone haraka.
Wakuu nimekuja kwenu nina shida moja naamini vichwa humu...
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali.
Anyone who is...
Issue ipo hivi....
Wife alisafiri, baada ya kurudi juzi na kama kawaida nikampokea kwa furaha tele kisha nikampeleka home na nikamuacha anahangaika na watoto pale.
Picha lilianza baada ya wife...
Habari zenu,
Nilikua na mpenzi ambae tumedumu kwa miezi minne sote tulipendana kwa dhati na kwa kipindi hicho yeye ndio alikua ameanza kazi hivyo mshahara alikua hajaanza kupata hivyo kila...
Habari zenu wanajukwaa,
Kwanza nashukuru sana kwa kunitia moyo katika uzi wangu uliopita.
Pili, nikwamba bado sijakata tamaa nahitaji mpenzi lakini awe ngozi nyeupe(Mzungu) tafadhali dada zangu...
Nimatumaini Yangu kuwa mu wazima
Mimi ni mdada, imekuwa ni mwezi sasa tangu nifahamiane na huyu kaka na kuamua kuingia nae kwenye uhusiano aliniuliza kuhusu mtoto mwanzoni nami sikumficha...
Jumamosi ya 27/8 nilihudhuria harusi ambayo nilianza kuiombea ruhusa wiki moja kabla, kabla ya kutoka mwenzangu alinijulisha kwamba Hana funguo hivyo badae tuwasiliane ili nimpatie.
Ukumbi haukua...
Wengi wanapo enda kuoa vigezo wanavyo zingatia ni pamoja na : Mwanamke mwenye tabia nzuri, Mcha Mungu, Mwenye heshima, Adabu na nidhamu. Mkweli, Mwaminifu, Mtiifu, mvumilivu, mwenye akili ya...
Habari wakuu, mke wangu toka nimuoe sina chochote nachostahili kufanyiwa kama mume.
Heshima 0
Tabia 0
Kununa nuna A+
Kusex mpaka nianze mimi, nisipoanza ngoma 0-0 na since nioe mwezi wa 8 mwaka...
Mambo! niaje walau! Kuna hii kitu nimeisoma mahala ikanibariki mnooooooooo hivo akili yangu ikaniwazisha sio Mbaya nikishea nanyi kwani yaliyomo yamo iwe kwenye mahusiano ya aina yoyote ile kwa...
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.
Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo.
Ukweli...
Mara nyingi nimekuwa mtu wa mizaha hapa jamvini .
Ila basi baada ya kushuhudia kisa Fulani mtaani ,nikaona nishee kidogo nanyi kuhusu maisha yangu ya mahusiano kidogo huenda tukapata kitu hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.