Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Unakuta Kabinti ndio kwanza kana miaka 20 lakini kifua kimechakaa hatari, Ziwa linasaidiwa na blaa kusimama ukimvua utafikiri ni mmama aliyekwisha nyonyesha watoto 4+, Kama mnashindwa kutunza...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Wadada mnaodate na wababa age 35s na kuendelea Tena wenye watoto nawapeni pongezi sana. Mi nilikuwa najua ukiwa na 20s ukidate na wababa umri kama huo ni afadhali, unafanya kazi ya kuelekezwa tu...
35 Reactions
256 Replies
13K Views
Aisee katika ishu ya diamond hakuna suala limenikeraa japo Nyumba sio yangu kama Zari kukiri analiwaa ndani ya Nyumba alionunuliwa na...
5 Reactions
262 Replies
14K Views
Heshima kwenu wakuu, Hivi mshajua nyie wanawake kwamba ni dhaifu kwa wanaume? Hamna ujanja wala akili ya kumkataa mwanaume hata uwe na nyodo au mzuri kama Cleopatra. Nyie wanawake ni Urithi...
9 Reactions
45 Replies
5K Views
Wadau Moja kwa moja kwenye mada. Baada ya kuthibitisha bila ya wasiwasi wowote kwamba mke wangu amekuwa si mwaminifu kwenye ndoa. Pamoja na vikao vya kifamilia na baada ya kujaribu kumsihi sana...
6 Reactions
115 Replies
14K Views
Huyu mrembo wangu ananihudumia kila siku kwa tendo, na ananiachia nijipigie magoli idadi ninayotaka mpaka pale nitakapo choka mimi mwenyewe; nimejikuta ndani ya wiki mbili nimekuwa na kitambi...
20 Reactions
123 Replies
6K Views
Ukitaka watoto wazuri wakike lazima ugharamie
11 Reactions
73 Replies
3K Views
Wakuu naamini mu wazima na mnaendelea vizuri na TOZO. Mimi nimekutana sana na visa vya kupendwa na wake za watu kimasihara sihara mpaka nahisi ni pepo. Wadada single nawapata kwa nadra sana. Ila...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Mashangazi wengine wananyanyasa sana vibenteni, tena ukute shangazi la kanda fulani fulani za Tanzania. Kwanza wa bahili kutoa pesa na wakikupa ni kwa masimango na unaifanyia kazi kwelikweli...
15 Reactions
25 Replies
2K Views
Uyo mwanamke ni mlemavu, ame-paralyse au mtoto yatima? Kama ishu ni sex iyo ni mutualy pleasure sasa kwanini mwanaume ugharamie.! Hela anatakiwa kupewa na baba ake, no man has a reaponsibility to...
29 Reactions
167 Replies
7K Views
Hii haikutokea jana wala juzi, huyu ni mwanamke mtu mzima tu naweza kusema hivyo, na mwenye akili timamu. Suala lililonileta ni kuwa ananitishia kunishtaki, na kaanza muda mrefu kidogo. Tulikuwa...
1 Reactions
12 Replies
957 Views
Jana jioni nikiwa nimereluxy nyumbani kwangu na ukizingatia wyf alikua katoka kdg,nikaanza kujiona mwepec yani ule wepec uxio wakawaida. Ghafla najiona naelea chumbani kwangu na vipepeo wa kike...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Hello Umofia kwenu! Niende kwenye maada, baada ya kuwa na ubize mwingi sana nikiwa katika mizunguko yangu hapa Dodoma hatimaye, Mungu kanikutanisha na mwanamke ambaye ameniipenda siku ya kwanza...
9 Reactions
43 Replies
3K Views
1. Tamaa ya utajiri Fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza nyota zao kwa kukataa wengi wenye kipato cha kawaida na kujirahisisha kwa wenye nazo ambao kwa...
13 Reactions
96 Replies
4K Views
Mwanachama #002 Shangazi Lisa Naomba unipostie ID yang ficha! Shangazi amini dunia hii ina mambo mengi, changamoto za ndoa hazifanani ,yakwangu imenijia vibaya! Sijajipanga kwa hili kabisa...
8 Reactions
56 Replies
9K Views
Mwanamke akiwa na mahusiano na wewe anataka ufanye vile yeye angependa (vya kumfurahisha tu). Mwanamke akikupenda anataka nawewe umpende hivyo hivyo, ukimpotezea ANAKUCHUKIA! Atajaribu...
14 Reactions
136 Replies
6K Views
Tulikuwa tunashiriki tendo sasa imetokea tumepishana kauli kai kati ya tendo. Mke wangu amechomoa neti na kuniviringisha mwili mzima.. Hapa ninapoongea nimefungwa kwenye wavu na sina ujanja...
16 Reactions
73 Replies
4K Views
Kwenye maandiko ya zamani sana ya kiebrania, kuna hadithi ya mwanamke ambae kwa sasa ndiyo amekuwa alama ya feminism na haki ya 50/50 kwa wanawake. Hadithi inaenda hivi. Kabla ya Eva kutolewa...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu, Kuna kitu nataka tujadiliane hapa; Usafi kwenye Mapenzi. Ukikutana na mwanamke mchafu, nakuhakikishia hutazidi goli moja, na bada ya hilo goli utakumbwa na kichefuchefu wala...
22 Reactions
148 Replies
27K Views
Kwako Binti na Mwana wa Afrika. Elimu za Dunia zinafundisha watu, kuenenda kwa akili/kutumia akili zaidi. Elimu za kiroho zinahimiza Unyenyekevu/kuenenda kiroho/kutumia uwezo wa ndani wa...
3 Reactions
3 Replies
359 Views
Back
Top Bottom