Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,966
- 8,742
Katika harakati hizi za mahusiano huenda ulishawahi kuchepuka, Jje ulishawahi kujutia uamuzi huo? Tupeane uzoefu. Binafsi nilikutana na kicheche/kichefuchefu kinaomba hela 24 /7 yaani bajet yake inazidi ya kwa wife X 10 Daah hapo nikaona nitafirisika aisee.