Bodabodafasta
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 372
- 372
Mwezi huu nimetongoza wanawake wasiopungua 20; ila kila lmtongozo wawili ndo wamenitolea nje kwamba straight foward kwamba haiwezekami nmekutana nao on sport kuchukua namba tu wanapata mtongozo so wanataka friendship kwanza ndo tuanze mahusiano kitu ambacho huwa na kikwepa sana maana mda wote wa urafiki kama inavyojulikana mwanaume ndo unaumia kutunza mnyama ambaye uli nyama yake/maziwa yake mpaka anone huku wadau wa zamani wanaendelea kujipigia tu huku eti ww anakusoma; hao wengine wawili hawana shida kabisa wao wanajiongeza wenyewe wanajua mwanaume anatakiwa apewe mzigo ndo kichwa cha juu kikae sawa kwa hawana shida kabisa Mungu awabariki sana; ila waliobaki tu wote ni wagonjwa mtu anakuambia ana malaria/UTI/ na kaugonjwa sijui gani na hajaenda hospital huku wewe ndo unatakiwa umtumie hela ya kwenda sasa sijui nisingemtokea asingeenda hospital na kipindi chote cha kuumwa wanataka wahudumie; ukipiga gharama za chapu unaona huu ni uwekezaji hewa maana ugonjwa ukiisha unaambiwa nipo kwenye siku zangu ngachokaaaaaaaaaa...
je ni kweli dada zetu nyie ni wagonjwa sana siku hizi au ndo njia rahisi ya kupata hela??
je ni kweli dada zetu nyie ni wagonjwa sana siku hizi au ndo njia rahisi ya kupata hela??