Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Madonna's adopted son David was simply being polite to a stranger - with no idea he was talking to his father. At their meeting in Malawi on Monday, the three-year-old went on to sit in Yohane...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Kuna tangazo ambalo linalenga kuwaepusha akina dada (hasa wale wenye umri mdogo) na uchu wa akina baba wapenda ngono. Binafsi sina tatizo sana na ujumbe uliomo kwenye matangazo haya, tatizo langu...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Jamaa yangu aliniuliza swali nami sikupata jawabu, alisema yafuatayo 1. je utajuaje kuwa leo mkeo au mpenzi wko amemegwa na jamaa ni dalili zipi za wazi kabisa? a)....... b)....... c)...
0 Reactions
27 Replies
23K Views
Nimesoma katika blog ya The Hill of Wealth eti..... Mwanamke amaye ni mwepesi kutoa machozi mara nyingi anakuwaga ni mzuri sana lipokuja suala la hisia katika maeneo yote ya maisha hii ina maana...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
...mna maoni gani kuhusu kuchorwa tattoo yenye ujumbe kwa 'mupenzi?' Here’s a heart and love tattoo dedicated to a spouse or partner ...kuna makabila ya kibantu yenye mila hii? ...kama...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Do African women still need men? BBC News Online BBC NEWS | Have Your Say | Do African women still need men? Women of today can do anything they want, so where does that leave African men...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nipo kwenye ndoa kwa miaka miwili sana na tuna mtoto mmoja mdogo. Tangu mwanzo wa ndoa yetu mume wangu amekuwa kama boss vile. Nilipata mimba mara tu baada ya kuolewa na mimba ilikuwa inanichosha...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
JF Members, We all know that there is a lot of publicity regarding the male condom, yet no similar initiatives to promote the female condom which is an important prevention tool for HIV and other...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Mahusiano yanayopelekea kupeana mimba yanaleta uchungu ama furaha kutegemeana na maelewano na makubaliano ya wahusika.Wanawake wengine hudhani kuwa njia ya kumkamata sawasawa mwanaume...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Sekretari Azinyofoa sehemu za siri za bosi wake kwa bahati mbaya Tuesday, May 12, 2009 4:51 AM Sekretari mmoja nchini Singapore ameung'ata na kuunyofoa uume wa bosi wake kwa bahati mbaya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nina rafiki wa kaka yangu ambaye ana umri wa miaka 45 na ameoa na kubahatika kuwa na watoto wanne,wa kwanza ana miaka 18 kwasasa na wa mwisho ana mitano.Baada ya kupata hao watoto wote kwa pamoja...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
MWANAFUNZI mmoja wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu Dar es Salaam (Duce), ameuawa kwa kuchomwa kisu mara nne na mwanafunzi mwenzake kwa madai ya wivu wa mapenzi. Inadaiwa mwanafunzi huyo...
0 Reactions
40 Replies
8K Views
kuna mantiki katika hili? Naona mmoja kasaini kuwa anashukuru Mungu kuwa mwanamke. mi nadhani ni ajali ya kibaiolojia tu kama ilivyo kwa imani ambayo ni matokeo ya kimazingira tu. umeshawahi...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Ni mambo gani ya kujiepusha nayo mwanamke kumtendea mwanamme asijekumuacha. Bora kinga kuliko dawa...naombeni ushauri tafadhali.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jamani naombeni msaada wa kisheria na hata ushauri. Nataka kuoa mtoto mmoja wa Kiunguja ila wazazi wake na familia yake haitaki kwasababu mi natoka Bara na pia ngozi yangu nyeusi (huyo mtoto ni...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Jambo linalohuzunisha ni kwamba nusu ya mwanaume na mwanamke wanaoamua kuishi pamoja hushindwa kufikia hii hatua ambayo mateso, maumivu, uchungu na kuvumilia kote huanza kulipa. Asilimia kubwa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Jamani recently we had a very interesting discussion started by my dear sis Kelly. That thread prompted me to get thinking. What makes a perfect man/woman? what do most women look for in a man...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
Women, sex and one night stands: an increasing trend Young women 'have more sexual partners' than men Young women are more promiscuous than men, according to a survey that claims the average...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau tusaidiane what are the do's and dont's ya mtu alie katika broken heart situation? Ni dillema kwa kweli!! But najua jamvi litatoa msaada wa kutosha hapa
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba msaada Nina umri wa miaka 30 na, nina waifu an watoto wawili na nimekuwa mwaminifu katika ndoa yangu. Ila sasa naona shida kwani waifu hana hamu na tendo la ndoa kama zamani...na kila...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…