Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

sijajua kama mada kama hii imeshawekwa humu au la. kama bado ni hivi, una rafiki yako, naye ana mwenza, mnapokwa nae anakuwa anawasiliana na mahawara zake kwa uhuru sana hata kukutana nao mkiwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hope you all doing well. jamani naomba msaada..am not sure this is the right place for this but will go ahead..niwieni radhi! I lost my elder sister last year.. mwaka mmoja ulitimia July 20th...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajamii habarini za mchana, Nahitaji ushauri wenu katika hili swala limenitatiza sana,mwishoni mwa wiki iliyopita nilipata msiba wa Babu yangu huko kwetu Tanga,na nilipata taarifa jioni ya siku...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Asilimia kubwa ya watoto wa kike hasa wenye wapenzi ukikutana nao na kukupa stroy zao ni kuumizwa na wapendanao why?
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Umeshawahi kuketi chini na kujiuliza, kama yasingekuwepo maisha yangekuwaje? Kimsingi ni swali gumu na hakuna anayeweza kulitolea jibu la moja kwa moja. Ni sawa na wanaume wanavyojiuliza kwamba...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
"Having sex on average burns 200 to 300 calories and is slightly more entertaining than going to the gym. Do both together if you're feeling adventurous - the added excitement will burn extra...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
I sometimes fail to understand the way my boyfriend does things. He constantly reminds me of the time I was a little girl and how dad used to be the closest person to run to. He would, among...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wababa wanachugua mabinti wadogo wadogo wanaitwa sukari baba. na akina sukari mama nao hawako nyuma kwa kufuata serengeti boy. swali ninalojiuliza je inawezekana binti ambaye uchache (pesa)...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Chelsea Clinton, Mkenya yuko tayari kutoa ng'ombe 20 na mbuzi 40 kumuoa Saturday, August 08, 2009 8:00 PM Raia mmoja wa Kenya ambaye alituma posa ya kumuoa binti wa rais wa zamani wa Marekani...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A WOMAN'S POEM: Before I lay me down to sleep, I pray for a man, who's not a creep, One who's handsome, smart and strong. One who loves to listen long, One who thinks before he speaks...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu niasaidieni katika mahusiano ya aina zote yaani upenzi hadi ndoa nani hupenda zaidi hasa ukifuatialia michango iliyopo humu Jf kuhusiana na kumegwa kabla ya ndoa? au ya Fidel kwanini...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Sikupendi kivipi? Umependeza!“Unajua siku hizi hunipendi” mwanamke ambaye ameishi na mume wake kwa miaka 6 alimlalamikia mume wake. "Hivi unaongea kitu gani na wewe, kwa nini unasema hivyo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mwanaume ni Box Hapo ana "fix' tatizo usimsumbue! Kama umekuwa kwenye ndoa kwa muda mrefu ni dhahiri kwamba umetambua kwamba kuna tofauti zipo kati yako na mwenzi wako, na hizo tofauti ndizo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa nini wanaume tu! ..............Wapendeni wake zenu kama Kristo anavyolipenda kanisa!Biblia ipo wazi kabisa na imetoa tamko zaidi ya mara 4 kwa mume kumpenda mke wake. Wakati huohuo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa hivi utamtembelea jela tu! Lily/EmmanuelNI JUKUMU ULILOPEWA NA MUNGU WEWE MZAZI KUHAKIKISHA WATOTO WANAKUWA NA NIDHAMU NA TABIA NJEMA. Kujisahau na kufanya mambo yafuatayo unaweza...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanawake ni spaghetti Tofauti na wanaume ambao ni mfano wa box katka utendaji wao wanawake wao ni mfano wa sahani ya pasta (spaghetti) Kama ukitazama vizuri sahani ya spaghetti utagundua...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habarini za sahizi ndugu wapenzi.....nimekuja kukumbushana tu jamani najua wako watakaohoji...lakini hata wale wanaoanguka dhambini kwa ajili ya uzinzi ni shetani hatuna budi kumkimbia na kuachana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuwasha na Kuzima! Kama kuzima, kuwasha nako ni simple!Turn off kwa mke kutoka kwa mume: Mwanaume ambaye hana ufahamu wa kimapenzi. Hajui ni nini na wapi kipi kinapatikana na kinafanywa vipi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Karibu kila kona ninakopita naona wajawazito wengi mno kuliko waja wepesi. Sasa nimeanza kujiuliza kama ndio matatizo ya kiuchumi yamewafanya watu wawe nyumbani muda mrefu na "kufarijiana" au ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Are these criteria’s can be measure of a Man? 1. His ability to make and conserve money. 2. The cost, style and age of his car (This is my favorite). 3. How much time he spent with his...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom