Madonna second adoption in Malawi!

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,839
View attachment 4097

View attachment 4098
Madonna's adopted son David was simply being polite to a stranger - with no idea he was talking to his father.

At their meeting in Malawi on Monday, the three-year-old went on to sit in Yohane Banda's lap before asking who he was. When the peasant farmer explained he was his father, David looked surprised and then asked him why he was poor.

It was the first time the little boy has seen his father since leaving Africa in 2006 - despite Madonna's vow for 'an ongoing relationship with David's Malawian roots'.

Father and son, who met at Madonna's lodge in Lilongwe, had to speak through a translator.

'He asked me whether I ride horses,' Mr Banda said later. 'I told him horses are for the rich and he asked me why I am poor. He told me his mum likes riding horses and that he too rides horses.'

chanzo; Is he really my daddy, Madonna? Star takes David to meet his real father... but he doesn't recognise him | Mail Online

...hii story inafurahisha, na kusikitisha!

"Who are you?"

"Why are you poor?"

...Usicheke, wewe ungejibu nini hapo? Haki ya mungu ingelikuwa mimi ndio huyo baba ningekwenda fukua kaburi la kamuzu Banda nimle nyama kwa kututia umasikini huo! :D (joke!)

Jamani mnazungumziaje issue ya Adoption na Fostering? ulilelewa kwenye kituo cha watoto yatima?, ushalelewa na mtoto yatima?, unamlea mtoto yatima? ...au mtoto wa kufikia?
 
I don't understand this Madonna - adoption fiasco, why adopt from africa? There are many children in the us who need foster homes i believe! I get the feeling that celebrities are regarding these African children they adopt as some fashion accessory / statement of some sort. Get a poodle or a chihuahua for petes sake!
 
...na kwanini isiwe kwa Madonna na mtoto wa ki-Afrika ewe Nkamagi?
BTW, yumo njiani kumu adopt hako ka Mercy James, awe dada'ke David.

The rising number of adoptions from Africa - particularly by Americans in Ethiopia - comes as the AIDS epidemic ravaging the continent leaves more orphans in impoverished countries and surviving relatives are unable to care for them.

Americans adopted 1,725 Ethiopian children in the 12-month period ending Sept. 30, 2008, about 70 percent of all U.S. adoptions from Africa, according to the U.S. State Department. The year before, 1,255 Ethiopian children were adopted by Americans.

...unaona? mwaka 2007- sept, 2008, watoto 2,980 toka Ethiopia walikuwa adopted na wamarekani peke yao!
 
Hako katoto si kamenawiri. cheki baba na mtoto tofauti kabisa. Ulaya hiyooooo.
 
Mbu, kama issue ni mtoto wa Kiafrika kuna wakina Leroy, Shanikwa na Shakwanas wengi tu huko us aende Brooklyn, kama ni kusaidia angemsaidia Baba wa david amlee david sio kusambaratisha familia in the name of money?
 
...tusiwalaumu wazungu wakati swali dogo tu (kama alilouliza mtoto wa miaka mitatu, David) linatushinda;

"...WHY ARE YOU POOR?"
 
I am bold enough to say that i am not poor (according to my standards),but I am living in a rich country that is run by intelligence challenged and morally deficient people
 
Mbu, kama issue ni mtoto wa Kiafrika kuna wakina Leroy, Shanikwa na Shakwanas wengi tu huko us aende Brooklyn, kama ni kusaidia angemsaidia Baba wa david amlee david sio kusambaratisha familia in the name of money?

...wale tayari System inawalea,...Kuna mfumo unaoeleweka, kuheshimiwa na serikali kuwahudumia, ...washindwe wao tu.

Afrika hakuna hayo! sana sana wategemee msaada toka kwa wafadhili, na tena kuna mafisadi wanakula humo humo kwenye misaada ya yatima.
 
I am bold enough to say that i am not poor (according to my standards),but I am living in a rich country that is run by intelligence challenged and morally deficient people

...we're in the same boat, lakini kunyoosha kwetu kidole bila kuchukua hatua nyingine za kubadili mfumo, haisaidii...

...tangu 1985 Live Aid, kina Bob Geldoff, Midge Ure, Madonna na wengineo wameimba weee kuhusu kusaidia Africa lakini dhiki, maradhi, umasikini, ujinga na njaa ndio kwanza vinaongezeka Afrika...

...Bora hatua hiyo wanayoichukua sasa baada ya years za ku raise awareness na funds bila matunda yeyote ya maana kuonekana ilhali wanaoteseka ni watoto.

BTW; nawapa 'thumb up' familia ya Mh. Mizengo Pinda kumu-adopt mtoto Albino,....na familia ya Mh.Kikwete pia, wanaye mtoto wa kumlea...
 
Sinyooshei watu vidole, ni aibu kuwaachia the Geldoffs, Bonos and Madonnas of this world to try to clean our backyards and I question the sincerity of their actions as well. Is it just for popularity or are these people genuinly concerned about the wellbeing of Africans more than some of the "concerned"?
 
...actually, most of then wanatushangaa! ...inakuwaje familia inafikia ufukara kama huu na bado mzazi unaongeza wake na mitoto zaidi! Maana tukianza kulaumu serikali bila nasi kuchukua jukumu la lawama, tunakosea!

Why are 'we' poor ? Kwanini 'tuko' hivi?

......inakuwaje familia inafikia ufukara kama huu na bado mzazi unaongeza wake na mitoto zaidi!

Why are 'we' poor ? Kwanini 'tuko' hivi?

Mbu, katika mazingira ya ufukara, hakuna recreation activities, elimu ya uzazi na pia wengine huongeza wake na watoto ili kuimarisha nguvu kazi.

Zaidi ya yote, kifo cha mke akiwa mjamzito au baada ya kujifungua kama ilivyo kwa kifo cha mtoto is inevitable. Yaani huwezi kupredict what will happen the next day, no one can but at least kuna ambao wana hope ya kuiona kesho na kujua hiyo kesho. It is complicated and it is sad indeed.

Why, why this? Until when? Is living a just life a privilege to the privileged?
 
Mbu, katika mazingira ya ufukara, hakuna recreation activities, elimu ya uzazi na pia wengine huongeza wake na watoto ili kuimarisha nguvu kazi.

...mama, ngoma za baada ya mavuno, kumtoa mwali, harusi, shughuli za uvuvi, uwindaji (pamoja na kwamba ni kutafuta kitoweo), mpira na hata kucheza bao au karata naamini ni recreational activities... iwapo jamii husika haijishughulishi nani wa kulaumiwa?

Zaidi ya yote, kifo cha mke akiwa mjamzito au baada ya kujifungua kama ilivyo kwa kifo cha mtoto is inevitable. Yaani huwezi kupredict what will happen the next day, no one can but at least kuna ambao wana hope ya kuiona kesho na kujua hiyo kesho. It is complicated and it is sad indeed.

Why, why this? Until when? Is living a just life a privilege to the privileged?

...hapo kwenye 'huwezi ku predict what will happen the next day', ndio hapo nchi za G20 wanapoatuacha mbali...! Why we can't?

usipopanda leo, kesho utavuna kweli? ...usipowekeza leo, kesho utatumia akiba gani?

'fukara' huyo huyo asiyeweza tabiri kesho, anaamini akizaa watoto wengi eti mmoja wao anaweza kuja kumfaa, au kama unavyosema 'kuimarisha nguvu kazi'. Utabiri wa upofu huo!

Inasikitisha. Eti tajiri na mali yake, masikini na watoto (asoweza kuwahudumia)
 
...mama, ngoma za baada ya mavuno, kumtoa mwali, harusi, shughuli za uvuvi, uwindaji (pamoja na kwamba ni kutafuta kitoweo), mpira na hata kucheza bao au karata naamini ni recreational activities... iwapo jamii husika haijishughulishi nani wa kulaumiwa?

...hapo kwenye 'huwezi ku predict what will happen the next day', ndio hapo nchi za G20 wanapoatuacha mbali...! Why we can't?

usipopanda leo, kesho utavuna kweli? ...usipowekeza leo, kesho utatumia akiba gani?

'fukara' huyo huyo asiyeweza tabiri kesho, anaamini akizaa watoto wengi eti mmoja wao anaweza kuja kumfaa, au kama unavyosema 'kuimarisha nguvu kazi'. Utabiri wa upofu huo!

Inasikitisha. Eti tajiri na mali yake, masikini na watoto (asoweza kuwahudumia)

Wana-JF sisi kama kizazi cha dot.com tusipoteze muda mwingi kukosoana wenyewe kwa wenyewe ,Hapa Dar es Salaam kuna msemo usemao NANUKUU " kuwepo kwa mtu (18+yrs)Dar es Salaam tayari yeye ana elimu ya Form six!" Kwa kuzingatia hilo Mzazi wa yule mtoto pamoja na masaibu yote yaliyomkuta, nadhani anajuta kum-ruhusu mtoto wake kuwa adopted. Sasa kwa mfano ni watoto wangapi ambao wanatupwa kwenye majalala,milangoni mwa watu n.k. hapa nchini natumai nia ya mastaa wengi ni kujenga publicity lakini wakati huo huo watoto wetu wanapata neema.
 
Wana-JF sisi kama kizazi cha dot.com tusipoteze muda mwingi kukosoana wenyewe kwa wenyewe ,

...kama kukosoana maana yake ni kubadilishana mawazo na kuelimishana, sawa! kwani kila mtu hapa ana experience tofauti na maisha.

...kwa mfano ni watoto wangapi ambao wanatupwa kwenye majalala,milangoni mwa watu n.k. hapa nchini

...wengi, na wala sio kitu cha kujivunia.

natumai nia ya mastaa wengi ni kujenga publicity

...ndiyo, publicity kwa maana ya awareness of African Orphans.

lakini wakati huo huo watoto wetu wanapata neema.

...naam, ila moyoni mwao 'there is ''eternal'' missing link!'

"The very existence of orphanages encourages poor parents to abandon children in the hope that they will have a better life."

Let us 'mafukara' be responsible, lets take our responsibility ...sio kuwasubiria kina Madonna kutulelea watoto wetu, la sivyo tufuate Nyota ya kijani (uzazi wa mpango)
 
Mbu,

Ukiisoma hii story mwanzo inachekesha sana, baada ya sekunde kadhaa unajikuta kwenye simanzi kubwa.

Huyu mtoto aliuliza legit question! Why are you poor?

Mkuu nakubaliana na uchambuzi wako wote kwenye hii thread. Wengi tunawalaumu akina Madonna lakini tunashindwa kutoa alternative.

Yeah, akina Madonna et al..wameimba, wameweka concerts kibao..lakini ndo hivyo hali yetu inazidi kuwa ngumu.

Sijui, lakini naamini aliyeturoga alishakufa mkuu. Maana kuna vitu huwezi kuvielezea katika bara letu la giza.

Big up to Madonna..angalau msaidie huyo bwana Daudi hata kama hatarudi Africa..lakini amepunguza statistics ya watoto wanaokufa bila msaada.

By the way ulishawahi kusoma kitabu kinaitwa "blackman confronts Africa"? Mkuu kitafute hicho kitabu...utaona mengi na utajiuliza maswali mengi kuhusu identity ya ngozi nyeusi..
 
Kuna habari kuwa mwimbaji Madonna amekataliwa na mahakama kupata mtoto mwingine wa kulea kutoka Malawi.

Habari kutoka AP news.
 
Kuna habari kuwa mwimbaji Madonna amekataliwa na mahakama kupata mtoto mwingine wa kulea kutoka Malawi.

Habari kutoka AP news.

...SteveD, unalifikiriaje suala hili?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom