Info about the Female Condom

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,457
956
JF Members,
We all know that there is a lot of publicity regarding the male condom, yet no similar initiatives to promote the female condom which is an important prevention tool for HIV and other sexually transmitted infections as well as unplanned pregnancy.

The female condom is critical as a woman-controlled method which offers women the power to take control over their protection. Note that the polyurethane material from which female condoms are made has additional benefits in comparison to latex rubber from which most locally available male condoms are made:
1. Polyurethane plastic does not have the potential to provoke allergic reactions as does latex rubber.
2. Polyurethane plastic is a better conductor of heat than latex rubber.
3. Polyurethane plastic is more resilient than latex rubber thus does not rupture easily.

In Tz there are brands such as "Care" and "Lady Pepeta" which are readily available.Im not sure about use of this condom by women or if men support women in using this protective thingy!
Can we have testimonies regarding use of the female condom?
 
Last edited:

I believe that the efficiency of a tool is as good as the person who uses it.
 
Nadhani ni wazo zuri kuhamasisha matumizi ya hizi condoms, zinatuwesesha kufanya double approach ya tatizo. mwanaume akisahau mwanaume akakumbuka, then uwezekana wa kutumia protection unakuwa mkubwa.
 
I don't mind a lady using one. It is good that you are trying to educated people about this because ita saidia wengine. WoS I heard about a female condom where a woman can where it and it is not easily visible. I think if those a available they will be a good tool against HIV because some women are forced into having unprotected sex by some men.
 
JF Members,
We all know that there is a lot of publicity regarding the male condom, yet no similar initiatives to promote the female condom which is an important prevention tool for HIV and other sexually transmitted infections as well as unplanned pregnancy.

The female condom is critical as a woman-controlled method which offers women the power to take control over their protection. Note that the polyurethane material from which female condoms are made has additional benefits in comparison to latex rubber from which most locally available male condoms are made:
1. Polyurethane plastic does not have the potential to provoke allergic reactions as does latex rubber.
2. Polyurethane plastic is a better conductor of heat than latex rubber.
3. Polyurethane plastic is more resilient than latex rubber thus does not rupture easily.

In Tz there are brands such as "Care" and "Lady Pepeta" which are readily available.Im not sure about use of this condom by women or if men support women in using this protective thingy!
Can we have testimonies regarding use of the female condom?

mi ningeshauri mara nyingi iwezekanavyo hizi mada ziwekwe katika lugha inayoeleweka zaidi. hata kama makala imetolewa kwenye tovuti flani basi ibadilishe. wakati mwingine 'engrish' is not richabo for some, pia kinachosha kusoma
 
Kwa nini wanawake hawazitumii?
Nahisi kama wanaona aibu maana hata ukimtuma akununulie ya kiume anakataa.
 
mi ningeshauri mara nyingi iwezekanavyo hizi mada ziwekwe katika lugha inayoeleweka zaidi. hata kama makala imetolewa kwenye tovuti flani basi ibadilishe. wakati mwingine 'engrish' is not richabo for some, pia kinachosha kusoma

Hakyanani, hoja hii ijibiwe. Sikuwahi kujua kwa nini nikitoka kazini huwa nachoka kumbe ni hayo makingreza yao.

WoS, kwa tanzania matumizi ya kondom za kike yapo chini na itaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu mno si kwa sababu taarifa kuhusu hizi kondom hazisambazwi ila:-
1/ Mila na desturi kandamizi hasa mfumo dume ambao haumpatii mwanamke fursa ya kufanya maamuzi kuhusu ngono, kifupi wanawake hawana nguvu ya kuamua kuhusu ngono ifanyike vipi ila maamuzi hutolewa na mwanaume.
2/ Kondom za kike ni teknolojia ngumu mno kuitumia, kuitumia tu kunahitaji darasa la kutosha.Pia zina usumbufu wakati wa kuivaa hadi tu asake mkao flani ndio aivae ukizingatia wanawake wa kiafrika wana aibu kuvaa kondom hii mbele ya mpenzi wako ni next to impossible. Zina sura mbaya sana hasa lile duara linaloingizwa nada na lile linalobaki nje hivyo kumfanya mwanamke ajisikie kama zinambadilishia maumbile yake.
 
Thanks WoS for bringing this up!! Kudos

You have put it well as far as chemistry is concerned!! I am just curious kwenye masuala ya comfort na uwekaji wake.. As you know sex is a pleasure that makes us appreciate nature and God's work... some of us tried and its a woman who dropped it first

Tendo lile linahitaji kuwa as natural as possible, nitafurahi nikipata insight zaidi ya logistics zake kwa mtazamo wako
 
JF Members,

1. Polyurethane plastic does not have the potential to provoke allergic reactions as does latex rubber.
2. Polyurethane plastic is a better conductor of heat than latex rubber.
3. Polyurethane plastic is more resilient than latex rubber thus does not rupture easily.

WOS,
ho do you JUSTFY the above benefits?
 
Wos1
This is a good idea, but the use or not use of condoms is not an issue for many women. I am speaking as a man. Several time when having sex with a woman, many women don't ask or dare to use a condom. What they do after reach in a room is to start the game immediately without taking necessary precaution to prevent themselves from HIV/AIDS and other STDs. Even a wife, cannot put on a condom infront of a husband. this is typical african traditions, for me I value it a woman to hide her privacy is good than 'kufika na kuchanua hata kama yuko na mume wake'.

What I can say, is to continue educate women about the use of female condoms and if they feel shy to put on infornt of a man, they can be advised to wear a condom in privacy situation before starting a game. Shy, shy, shy is what making women not to buy and wear of female condoms.
 
WoSUmeongea kitu cha maana sana…likini implementation yake kwa kweli katika mazingira ninayo yaona imekuwa ngumu sana….kuna wakati hawa tunawaita waeleimisha rika alikuja tunapo fanyia kazi….akaanza ku preach about condom za kiume na za kike….Well alikuwa anaeleza vizuri sana….kwenye za kiume na matumizi…na alionekana muelewa…..kwa bahati mbaya alikuwa ni mdada akakutana na mie…wa kiume..Alipofika kwenye swala la condom za kike alieleza na nikajaribu kuumuuliza deep inside katika mahusiano yake je anatumia condom za kike?Sure enough alisema hajawahi tumia.Simply kwa kuwa kwanza uvaaji na mgumu,hata maelekezo ya very complicated.Hata hawa wadada wanao jiuza I though wangekuwa wanazitumia kwa nguvu zote…lakini wao wananunua za kiume…na kuwa nazo stand by.Sina tatizo na mwanamke kuvaa condom za kike….ila sijawahi hata kuona mmoja kajaribu gusia kuhusu hilo.WoS unaweza toa maelezo zaidi na ziadi kuhusu condom za kike..hapo umegusia tu..
 
Mkuu Buswelu na wengine mliouliza maswali kuhusu condom ya kike,
Naomba niwajibu machache kama ifuatayo:
1. Condom ya kike haijazoeleka sana kama ile ya kiume kwa sababu pamoja na sababu nyingine, ya kike haijafanyiwa uhamasishaji sana kama ya kiume na hata upatikanaji wake ulikuwa wa shida ( gharama pia) hadi hapa miaka ya karibuni sana - sidhani inazidi miaka 3 ambapo tunaziona kwa wingi zaidi.
2. Condom ya kike inavaliwa ndani kwenye sehemu nyeti ya mwanamke ( mnisamehe kwa lugha hii..ashakum si matusi - tunaelimishana), wakati ile ya kiume inavaliwa kwa nje na mwanaume na ni rahisi kuvaa/kuvalishwa kuliko ile ya kike.
3. Pamoja na kuwepo kwa kinga hii, bado imekuwa kazi sana kufanya watu wote wanaume na hata wanawake wenyewe waikubali kama njia nzuri ya kuzuia siyo maambukizi ya virusi vya UKIMWI tu, bali hata mimba na magonjwa ya zinaa.Hii inatokana na jinsi inavyoonekana - ina ring mbili - ndogo sehemu ya kuingizia na kubwa sehemu inayobaki nje.Na uvaaji wake inabidi uikunje/kuizungusha kwenye umbo la namba 8 iliiweze kuingia vizuri na ring hizo mbili zikae inapotakiwa/inavyotakiwa.
4. Mafunzo ya kutumia condom ya kiume ni rahisi zaidi kuyatoa kuliko yale ya kike kwa sababu ya maumbile - ya mwanamke yako ndani wakati ya mwanaume yako nje na ni rahisi kutumia nyenzo za kufundishia for demonstration.
5. Utayari wa kuitumia nao ni mgumu - wanawake wengi wakiiona ilivyo haiwavutii kujaribu kuitumia na kwa wanaume ndiyo kabisaaaaaa hawaikubali japo ina advantages zaidi kuliko ile ya kiume ikiwa ni pamoja na kujisikia vizuri zaidi.
 
Mkuu asante kwa shule nzuri, hata hivo mkuu mi sijawahi iona hiyo ya ma she, pia kaswali kadogo, je mwana mama anaweza jivalisha mwenyewe kirahisi tu?, nijuavyo ni laini hiyo mipira, sasa inawezaje kuingizwa huko ndani, I mean uimara'stiffness' ili iweze ingizwa? yaani sijapata picha, sorry, itabidi pia nifanye sehemu yangu ya kuitafuta na kuiona!
 
Rwabugiri, kuuliza ndio mwanzo wa kujua.
1.Bahati mbaya sina picha hapa..labda kama kuna mwanachama mwenye nayo anaweza kukubandikia ukaiona.
2.Ndiyo, hiyo huvaliwa na mwanamke mwenyewe maana kama ni kuvalishwa na mume/mpenzi mbona itakuwa shughuli!Anaivaa kwa kuchuchumaa, kulala chali n.k mradi apate wepesi wa kuiweka inavyotakiwa.
 
Bora wanaume tuendelee kuvaa condom uvaaji wake nimeuona kwenye net ni balaa....anawe kuishiwa stimu zote baada ya kwisha ivaa....
 
1.Bahati mbaya sina picha hapa..labda kama kuna mwanachama mwenye nayo anaweza kukubandikia ukaiona.
2.Ndiyo, hiyo huvaliwa na mwanamke mwenyewe maana kama ni kuvalishwa na mume/mpenzi mbona itakuwa shughuli!Anaivaa kwa kuchuchumaa, kulala chali n.k mradi apate wepesi wa kuiweka inavyotakiwa.
kwanza muonekano wake ni utata.....pili uvaaji wake utata pia......lazima mwanamama apige sarakasi kuivaa sasa kama wote wawili mna maugwadu ya miezi kadhaa aaah haitavalika
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=mnyC_v0-DQ4]YouTube - Female Condom Demonstration[/ame]
 
Back
Top Bottom