Hivi mdada unajisikiaje?

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,360
Leo nimepanda daladala asubuhi wakati nakwenda kibaruani, bahati mbaya nikakosa siti nikawa nimesimama pembeni yangu kulikuwa na mdada ambaye alikuwa amekaa, kwa kuwa gari ilikuwa fupi nikawa nimeinama kuangalia chini kwa yule dada.

Kwa kweli view niliyoipata nilikuwa natamani daladala isifike hara na foleni ziongezeke kwani mdada alikuwa na blauzi zile za kuachia sehemu kubwa ya matiti yake nje na kwa hakika alikuwa amejaaliwa kifua cha kutamanisha.

Yule dada baada ya kugundua mimi nakula raha (naona baada ya kuona mabadiliko kwenye suruali) akaanza kuhangaika mara kaweka bahasha kifuani mara kaanza kuinama na sura yake ikawa inaonekana hayupo konfotabo kabisa, nikaanza kujisikia giliti (vibaya) kwa kumkosesha raha dada wa watu.

Sasa napata maswali hivi mdada huwa unajisikiaje midume ikiangalia matiti yako kwa kuyatamani? Hivi huwa mnayachukulia matiti kama sehemu ya utupu katika miili yenu? Hivi mbona wengine wanaweza kunyonyesha mbele za watu?
 
.........yule dada baada ya kugundua mimi nakula raha(naona baada ya kuona mabadiliko kwenye suruali) akaanza kuhangaika mara kaweka bahasha kifuani mara kaanza kuinama na sura yake ikawa inaonekana hayupo konfotabo kabisa,........

mpwa niaje, mambo vipi??
Sasa mpwa umeona matiti tu hali imekua hivyo,
je ungeona mistari ya utamu kwenye miguu je?, pole sana mpwa!, angeweza kukupigia kelele wewe dungadunga!
 
Kusema kweli mkuu siwezi amini kua alikua unconfortable kwa sababu yeye kuvaa vile ni ili aonekane so iweje tena aanze kujishaua...hii ni sawa na wadada kibao wanatoka ndani wamevaa vimini then akipita mtaani utaona anvyokazana kukishusha kimini wakati anajua ni kifupi basi unabaki tu kucheka!!
 
I wanted to answer something, but..goooooosh...i found that the thread is biased to women only...!

Ngoja wakichemsha na majibu tunakuja...! I have the best answer...bt nakuwa mpole kwanza!
 
mpwa niaje, mambo vipi??
Sasa mpwa umeona matiti tu hali imekua hivyo,
je ungeona mistari ya utamu kwenye miguu je?, pole sana mpwa!, angeweza kukupigia kelele wewe dungadunga!
Usimshangae jamaa kuona matiti tu hali ikawa hivyo, wengine wakiona nywele tu za msichana kwao ni utamu!
 
na wewe utamkoseshaje raha wakati aliamua mwenyewe kuvaa hivo akijua yuko confotable :) pole Burn
 
Mpwa,
Karibu ofisini kwetu ila kwa jazba zako vaa jinsi. Worse ni bosi wako.
 
Hao wanafanyaga makusudi mavazi yao, wanajua yanachosababisha na bila shaka wanapenda matokeo yake, ingawa sina uhakika kama wanayapenda au watayapenda matokeo yote
 
Hao wanafanyaga makusudi mavazi yao, wanajua yanachosababisha na bila shaka wanapenda matokeo yake, ingawa sina uhakika kama wanayapenda au watayapenda matokeo yote

Wengine wanaiga fashion then wanaover do ndio matokeo yake hayo.
 
1. Wanawake wengi huvaa wakidhani ni fasheni ..wanapoona wanakodolewa macho hukosa raha labda kama mtu kavaa makusudi ili avute attention ya akina kaka.Mavazi ya kujiachia yanafaa maeneo ambayo kila mtu kavaa hivyo hivyo - beach, shopping mall.... pubs za kishua,etc.na siyo kwenye daladala au mitaa ya uswahilini yenye watu wengi wa kila aina na wengine wasiyo na staha.

2. Bahati mbaya kuna wanawake wengine hawafikirii kabla ya kuvaa. Mavazi yanategemeana na mtu anakoenda/pita, shughuli anayoenda kufanya na aina ya watu atakaokutana nao.Mwanamke ukivaa nguo zenye kuleta utata kwa akina kaka ilhali unajua kabisa utapanda daladala au utapita kitaa...unajiweka kwenye hatari ya kupigiwa miluzi, kufanyiwa vitendo usivyotaka kama kukodolewa macho n.k.

3. Akina kaka nao! Unatafuta nini kwenye vifua vya akina dada wakati unajua utajifadhaisha? Utajikuta polisi kama akina dada wataamua kuitumia sheria ipasavyo.Mnaijua sheria ya makosa ya kujamiiana - SOSPA 1998? SHAURI ZENU!
 
Macho hayana Pazia.....Sina uhakika kama sheria inasema ukimwangalia mdada unakosa!! ila nnachujua sijui ukimkonyeza ndio kosa!
 
Mpwa,
Karibu ofisini kwetu ila kwa jazba zako vaa jinsi. Worse ni bosi wako.

We si ndo ulisema ukiona nywele ndefu tu na mashavu unakua ''speechless'' sasa huko ofisini unaishije?
 
na wewe utamkoseshaje raha wakati aliamua mwenyewe kuvaa hivo akijua yuko confotable :) pole Burn

FL1 sasa kwa nini yeye alianza

.......akaanza kuhangaika mara kaweka bahasha kifuani mara kaanza kuinama na sura yake ikawa inaonekana hayupo konfotabo kabisa:confused:

FL1 just tel us from ur experience ni sawa kutinga ivyo vivazi au huwa wanavivaa hawajui nyakati zake za kuvivaaa ivyo vinguo vya mtindo huooo ????

me nadhani hawa dada zetu wanatakiwa vaaa nguo ambayo hata sisi tukiwaona tusifie hilo vazi na sio tuanze kutoa criticism mara oooh huyu dada nae mbona vile mara hivi haya sasa si kututamanisha mara imepanda imeshuka jamani hiii mili yetu ya kiafrika sio inavutia sana na wadada wanalijua hilo sasa sielewi ni kama wanafanya kusudi auuuuuu??

Pole sena Burn wala usihofu mambo ya kawaida sana hayo western ndio inashamili bongo mtazoe muda utakapo fika
 
Pole sana Burn, shida ni kwamba ulitumbua majicho kupita kiasi...siku nyingine unakodoa mara moja halafu unajisemea sizitaki mbichi hizi.., ku enjoy enjoy tu hivi hivi si vyema, unaweza kuadhirika bure!

kina dada wanaovaa hivi kwa sababu wanazojua wao wapo na wataendelea kuwepo hata iweje, ndio maana unachoweza kufanya ni kurekebisha mambo upande wako baaasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom