kulikoni katika mapenzi?!!!!

jackson27

New Member
Oct 2, 2009
4
0
nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu mapenzi hasa kwa hawa dada zetu.nimefikia mahali nimeshindwa kuelelewa kbs.ukiongea nao watasema wanataka mwanaume mpole,msikivu,atayempenda na kumjali nn kadhalika.ukweli ni kuwa wanaume wa namna hii ndo wanaosumbuka kuwapata.wale wanaowa handle hash,kuwapiga,wanywaji ndo wanawapata kirahisi hasa cute girls!!.

pili:mtu anapooneshwa kupendwa yeye anashusha upendo au kuupoteza kabisaaa,akianza kuoneshwa dallili za kutopendwa tena yeye ndo anaanza kupenda while its too late!.

tatu:msichana unapomweleza ukweli humpati,ukimdanganya hata katika mazingira anayohisi anadanganywa utampata!.je wanawake ni wa kudanganywa tuu?.

nne:ukimega mke wa mtu na wako lazima atamegwaa!!.kuna siri gani hapa?

tano:Ukimwacha mtu hali anakupenda na wewe utaachwa!!!!!.

sita:ukimwaproach msichana huku umedhamiria kuwa naye humpati,utampata unayemwaproach ktk masikhara(ukiwa ume-relux).

saba:wasichana warembo huolewa na wanaume wasio watarajia na katika umri ulokwenda sana!!.

maoni wadau wa JF.
 
eeeh hii Topic mbona kama tumeshaijadili sehemu ama ni copy and paste au naota ??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom