Indian love: We just clicked
Will more Indian couples find happiness via the internet?
By Rajini Vaidyanathan
BBC News, Mumbai
Marriages in India are traditionally arranged by parents...
Jamani ile thread ya watu wakubwa ilipelekwa wapi? Kila nikiitafuta siioni, sasa wengine tulishazoea kupitapita huko kuweka mambo sawa, sasa inakuwaje tena mmeitoa? Irudisheni tafadhali kabla...
Apology for women raped by father
Two women raped and abused by their father over 25 years have been given an apology by the authorities which failed to protect them
Two women who were...
J
umamosi moja tulivu Janet akiwa na wazazi wake walifika Stendi ya mabasi ubungo kama ilivyo kawaida ndani ya stendi hiyo magari huwa mengi kama siku za kawaida ,Kwa mtu mgeni anaweza kushangaa...
Mwanaume mmoja nchini Uingereza amefikishwa mahakamani kwa kumuua mpenzi wake aliyemkebehi kuwa ana uume mdogo sana hivyo hawezi kumtosheleza hamu zake za kimapenzi...
Baada ya kunyimwa kula kwa karibu wiki moja na nusu kwa sababu nimeweka avatar inayonionesha kama nasokota bangi na niko mshambamshamba nilijifanya miye mgumu. Bi mkubwa hataki kusikia wala...
kama mnakumbuka majuzi niliweka hapa ushuhuda ya rafiki yangu mmoja aliyejikuta akiishi katika mazingura magumu siku na tarehe kama ya leo miaka adhaa iliyopita. la kutia moyo ni kuwa MUNGU...
Mahusiano au mapenzi huleta raha na furaha ya ajabu maishani lakini...........
kuna watu aidha wanaume au wanawake,wakikutana tu,utasikia 'naomba simu yako'. Ataanza kusachi,atasachi sms...
Inasikitisha na kuhuzunisha,pale mwanaume tena na masharubu yake kwa bahati mbaya ukaitwa anti na mwana JF mwezio,anyway atakuomba radhi, thats ok,BINAFSI sijaitwa anti lakini, majina mengi ya...
How men change
The Love Word:
After 6 weeks: I looo-ve you, I love you, I love you!
After 6 months: Of course, I love you.
After 6 years: If I didn't...
Wadau, ikiwa katika mpira wa miguu kila mechi inapoisha huwa kuna kubadilishana jezi kuonesha "FAIR PLAY".... Je, kama kungekuwa na fair play ya kubadilishana chupi mara baada ya tendo la ndoa...
Aina 10 ya vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!
Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo miongoni mwa wanandoa...
Enyi wazazi
angalien na familia zenu ona sasa
kun familia hapa jirani imeleta kizaaza
baba amekuwa akiacha hela ugali mchicha yeye
hali anarudi usiku..kila siku mama yakamshinda
kapata wapi hela...
Uongo ni kitu cha kawaida katika mapenzi.Hata Ibrahim kwenye biblia aliongopa kuwa, Sara si mkewe,ili kuepuka mfalme asimuue yeye na kumchukua mkewe mrembo awe wake.Hata hivyo imeandikwa waongo...
Kuna watu kama wawili hivi wenye shule za nyadhifa zao nawafahamu ambao ni mashoga wa kisiri siri. Wana pesa, familia, wake na watoto.
Sasa nauliza nyie wanawake. lipi bora ugundue kwamba mumeo...
Mara nyingi baadhi ya wanaume wa kitanzania (mimi mmojawapo) tunaamini kuwa mwanamke utayeanzisha mahusiano nae kupitia facebook ama mtandaoni kwa ujumla ni kicheche!!! Ingawa yeye (Mwanamke)...
Karibu kila mwanafunzi kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita, akiwa wa kike unakuta ana boyfriend wake na wale wa kiume nao wanao magirlfriend wao, wachache hawana kabisa,labda niwaulize kwanza...
Katika website ya waynesthisandthat nimepata quote hii ambayo kwangu mimi hai'saund vizuri sana;
.."Like Fish, Guests Begin Smelling After Three Days"...!
Lakini pia, kwa waliosoma vitabu vya...