Back by popular demand..

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Baada ya kunyimwa kula kwa karibu wiki moja na nusu kwa sababu nimeweka avatar inayonionesha kama nasokota bangi na niko mshambamshamba nilijifanya miye mgumu. Bi mkubwa hataki kusikia wala kuhubiriwa ilikuwa ni kutoa avatar au kuendelea kunyimwa "mkate wa kila siku". Nikijionesha kuwa nimekomaa katika fani ya siasa na ushawishi nimejikuta kama kajibwa koko nasalimu amri..

Kwa kweli dada zetu msiwe mnatuadhibu hivi... kwa kweli huu ni unyanyasaji wa kijinsia!! Wakati mwingine a man has to make the wisest and the boldest of decisions just to remain in the play zone..

:(
 
ulishika makali yeye kashika mpini.....
bora ume'sarenda' ungeketika mkono bure....

(Lakini mzee wenzio wakinyimwaga ndani wanasepa zao kula kwa mama ntilie mchuzi jaa wali lee)

Endelea kuwa msikivu mtii na mvumilivu
 
Ha ha ha ha, hivi mkulu na wewe yamekusibu na inakuwaje unapewa mkate kila siku? mzee wetu wewe ni extreme? huchoki? akikunyima kwa mwaka akata chochote si utampa?
 
whaaat??? nimunyime!!? unajua kila akitembea ni watu wangapi wanajitolea wampe.. si ndiyo itakuwa "my loss is somebody else's gain"?

Lol....unaogopa kumegewa siyo....tatizo unaweza hata usimnyime lakini bado wakamega vilevile....heheheheheee....let me stop....
 
Lol....unaogopa kumegewa siyo....tatizo unaweza hata usimnyime lakini bado wakamega vilevile....heheheheheee....let me stop....

Huyu si mzee mwanakijiji nani atamchulia bibi mwanakijiji?
icon10.gif
 
Daa afadhali umeturudishia Mwanakijiji wetu wa zamani.Safi sana mamkubwa kwa kazi yako nzuri ya kumshawishi mzee..Big up and .Keep it up.
 
safi sana dada mrs mzee mwanakijiji.tumenyimwa nguvu za kutunisha misuli lkn tunajua jinsi ya kuwanyongonyeza wenye misuli yao!!avatar hii ni nzuri nikiiona nakutambua kirahisi!
 
.........Hiyo ndio dawa yenu wanaume, kama hutaki kumsikiliza mrs dawa yake ni kubana tu.
Mrs Mwanakijiji umefanya la maana sana, nafuu mr kakusikiliza na kurudisha avatar ya zamani.
 
Mkuu hapo umeenda mbali. Kumbuka hata huku jamvini walikuwepo wanaume waliotaka urudishe avatar ya awali. Hapo umewaweka kapu moja na hao wanamama. Fafanua hapo
 
Mkuu hapo umeenda mbali. Kumbuka hata huku jamvini walikuwepo wanaume waliotaka urudishe avatar ya awali. Hapo umewaweka kapu moja na hao wanamama. Fafanua hapo


nafahamu.. nimerudisha na kukubali.. lakini only one person had the means to convince me to do so at my own peril! Kwa kweli.. natarajia great reward nikirudi nyumbani maana kutwa nzima njaa inauma!! Sasa ndiyo aniletee nyodo nikifika...
 
Back
Top Bottom