Amuua Mpenzi Wake Baada ya Kuambiwa Hayawezi Majambozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amuua Mpenzi Wake Baada ya Kuambiwa Hayawezi Majambozi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MziziMkavu, Mar 11, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Mwanaume mmoja nchini Uingereza amefikishwa mahakamani kwa kumuua mpenzi wake aliyemkebehi kuwa ana uume mdogo sana hivyo hawezi kumtosheleza hamu zake za kimapenzi. Peter Ling, 50, aliiambia mahakama kuwa alishindwa kuzitawala hasira zake baada ya kipenzi chake Linda Casey kumwambia kuwa hana kiungo cha siri kikubwa cha kuweza kumtosheleza hamu zake za kimapenzi, limeripoti gazeti la Daily Mail la Uingereza.

  Ling, aliandaa sehemu ya starehe jijini London kwaajili ya kukutana na Linda akiwa na nia ya kumuuliza kama Linda ana mwanaume mwingine pembeni.

  Baada ya kukutana na baadae kufanya naye mapenzi, Ling alimgeukia Linda na kuanza kumhoji kuhusiana na emails alizozituma zinazohusiana na tovuti za kutafuta wachumba na pia kama ana mwanaume mwingine pembeni.

  Wakati wa mabishano yaliyozuka wakati huo, Linda aliongelea masuala ya viungo vya siri vya Ling akimuambia kuwa uume wake ni mdogo sana kuweza kumtosheleza.

  "Nilikuwa ni kama bomu lililokuwa likisubiria kulipuka wakati wowote, alipotoa maoni hayo moja kwa moja yalizama kwenye akili zangu", Ling aliiambia mahakama.

  "Siku zote nimekuwa nikiushuku ukubwa wa uume wangu", aliongeza Ling.

  Baada ya Linda kutoa maoni hayo, Ling alianza kumshushia kipigo Linda mpaka alipofariki.

  Ling anaitaka mahakama iamue kesi hiyo kama mauaji bila kukusudia badala ya kesi ya mauaji ya kukusudia aliyofunguliwa.

  Kesi hiyo inaendelea.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kamanda wangu punguza kasi ya kuweka posts! Inakuwa kero sasa!!
   
 3. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2010
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Pengine anafukuzia kile kibanda cha makuti pembeni kwa jina lake labda..(frequent poster)....
   
 4. upele

  upele JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 3, 2010
  Messages: 365
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwacheni atachemsha tu mwisho wa kuni ni mjivu
  conquest
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Mwacheni ustaadh utahabarishe bana. Nyie tatizo lenu ni nini?
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Wewe upo humu Tangu 2008 umechangia nini zaidi ya kupiga watu vita? umejiunga humu kazi yako kupinga watu wengine ngojeeni uchaguzi tuone kama kweli mnaweza kuwapinga viongozi wenu mukawachaguwa viongozi wengine ( MIAFRIKA BWANA NDIVYO ILIVYO)
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  na wewe JF Premium Member mzima unazungumza Utumbo mtupu Ehhhhhhhh
   
Loading...