Mwanaume kuitwa anti. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume kuitwa anti.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tall, Mar 10, 2010.

 1. T

  Tall JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha na kuhuzunisha,pale mwanaume tena na masharubu yake kwa bahati mbaya ukaitwa anti na mwana JF mwezio,anyway atakuomba radhi, thats ok,BINAFSI sijaitwa anti lakini, majina mengi ya humu hayaonyeshi kama huyu ni mme au mke.USHAURI; kwa nini pasiwe na utaratibu ambao moja kwa moja najua sasa nawasiliana na jinsia ya kike au kiume. Mfano mimi Tall naweza nikasomeka kama Tall-M kila atakaesoma mawassiliano yangu atajua tall ni mwanaume= M=Man na hivyo hivyo akina dada wao baada ya majina yao waweke-F ikiimanisa Female. Sidhani kama kuna watu hawataki wajulikane kama ni wanawake au midume, basi kama watakuwepo labda watumie alama ya N,= NUTRAL TUTAJUA HUYU HATAKI TUJUE JINSIA YAKE.Hayo ni mawazo yangu.
   
 2. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Bwawa atueleze vizuri hii kitu
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  mmmmh
   
 4. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  i hate what u mean:D
   
Loading...