Mahanjumati yenyekuleta mahanjamu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mahanjumati yenyekuleta mahanjamu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Mar 9, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,051
  Trophy Points: 280
  Aina 10 ya vyakula vinavyoongeza uwezo katika tendo la ndoa!

  [​IMG]

  [​IMG]


  Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo miongoni mwa wanandoa, uchunguzi umeonesha kuwa utumiaji holela wa vyakula hasa vyenye mafuta ni moja kati ya sababu zinazochangia kwa kasi tatizo hili.

  Kwa kuzingatia hilo, watafiti wa masuala ya uhusiano wa kimapenzi wamebaini aina kumi ya vyakula ambavyo vina uwezo wa kumuongezea mtu nguvu ya kufanya tendo la ndoa. Vyakula hivyo ni hivi vifuatavyo:

  PILIPILI
  Pilipili zilizocheshwa zimetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia msukumo wa usambazaji damu mwilini, ambao kwa kiasi kikubwa ndiyo unaoweza kumfanya mtu akawa na hisia kali za kimapenzi. Kwa msingi huo, ni vema kwa wale wanaokabiliwa tatizo la uwezo wa kufanya mapenzi wakatumia pilipili si kwa wingi bali kwa kiwango stahili, ili waamshe hisia zao.

  PARACHICHI
  Aina nyingine ya chakula ambacho husaidia kuongeza uwezo wa mtu kufanya tendo la ndoa ni Parachichi. Tunda hili linauwezo mkubwa wa kuzalisha vitamini E ambayo husaidia katika uzalishaji wa homoni. Inatajwa kuwa watu wanaotumia tunda hili kwa wingi huwana msisimko mkali wa kimapenzi na kwa upande wa wanawake husaidia kuongeza majimaji yenye utelezi sehemu za siri na hivyo kuzuia uwezekano wa kuchubuka wakati wa kujamiiana.

  NDIZI
  Wakati unafikiria uwezo wa kufanya vema tendo la ndoa unatakiwa kuwaza juu ya uimara wa misuli ya mwili ambayo inatajwa kuwa ni sehemu kuu na yenye muhimu katika kujamiiana. Kwa msingi huo ulaji wa ndizi mbivu unatajwa kusaidia kujenga misuli mwilini na kumfanya mtu aweze kuwa hodari katika tendo la ndoa.

  CHOKOLETI
  Ulaji wa Chokoleti huongeza uchangamfu mwilini na, hivyo kumuwezesha mtu anayeshiriki tendo la ndoa kuwa na mguso sahihi kwenye fikra zake, jambo litakalomuwezesha kupokea hisia za mapenzi kwa urahisi zaidi ya mtu ambaye anakwenda kwenye uwanja wa sita kwa sita akiwa mchovu wa mawazo.

  CHAZA NA PWEZA
  Aina hizi za samaki zinazovuliwa baharini huwa na madini ya zink na chumvi ambayo yanatajwa kusaidia uzalisha wa vichocheo vinavyohamasisha msisimko wa mwili wakati wa tendo la ndoa.

  POMEGRANATE
  Ni aina fulani ya matunda mekundu yanayofananana na apple. Haya yatajwa kusaidia kuamsha mishipa ya fahamu na kuweka mawasiliano sahihi ya mwili na hivyo kumuongezea mtu uwezo kwa kufanya tendo la ndoa kwa hamasa kubwa.

  MVINYO MWEKUNDU
  Mvivyo mwenyekundu unatajwa kuwa na uwezo wa kuuchangamsha mwili na kuongeza msukumo wa damu, kiasi cha kumuondolea mtu uchovu kabla na baada ya tendo la ndoa, hivyo ni muhimu kunywewa hasa na wale ambao wanasumbuliwa na tatizo la kushindwa kurudia tendo.

  MBEGU ZA MATUNDA
  Mchangayiko wa mbegu mbalimbali za matunda, mfano tikiti, maboga husaidia kuondoa ACID mwilini na kumfanya mtu ajione ni mwenye afya njema.

  VANILLA
  Vanila husaidia kuamasha hamasa mwili.Mwisho wa aina hizi za vyakula ni TIKITI MAJI ambalo linatajwa kuwa na virutubisho vingi vyenye uwezo wa kuusaidia mwili kuwa na nguvu za kutosha kufanya tendo la ndoa.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Neema kwenu wenye matatizo haya!
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ngisi sijaiona hapo nasikia nayenyewe inasaidia kuongoze nguvu haya watu wa pwani tuhabarisheni
   
 4. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  CHAZA NA PWEZA
  Aina hizi za samaki zinazovuliwa baharini huwa na madini ya zink na chumvi ambayo yanatajwa kusaidia uzalisha wa vichocheo vinavyohamasisha msisimko wa mwili wakati wa tendo la ndoa.


  MAMBO HIYO HAPO JUU.
  YAANI SEA FOODS NI NOMA.
  PIA VYAKULA VYA KIASILI KAMA UFUTA NA MTINDI...
  NDIO UTAJUA KWANINI WASUKUMA WANAZAANA SANA.

  PIA VYAKULA KAMA NDIZI, NYANYA CHUNGU NA SENENE VINASAIDIA SANA KUONGEZA ASHIKI, NDIO MAANA KULE KWETU KANYIGO, WANATUSEMA VIBAYA.
   
 5. J

  JituParaTupu Member

  #5
  Mar 9, 2010
  Joined: Nov 20, 2008
  Messages: 88
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Nawahabarisha...ukifika TA uliza kwa Mzee Joto hapo kuna supu ya pweza na ngisi. Ukitumia kwa muda wa wiki moja utaona mabadiliko kunako shughuli.
   
 6. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Kwa mashost zaidi:D:D:D!!!
   
 7. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #7
  Mar 9, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Somo zuri.Umesahau na pweza pia kwa watu wa Zenji.
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  MVINYO - Hii kitu nilikunywa one day ikaniletea ugomvi, mwenza wangu mpaka leo haishi kusimulia hiyo siku- kwa kweli huwa nikinywa hii kitu mpaka masikio yanawaka moto huwa nakuwa km nna HYDROLIC kwenye viungo hahaa. kweli mpaka leo akisikia nakunywa wine basi hana amani tehe
   
 9. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  uncle tende,karanga mbichi
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahahaha fafanua tafadhari ..Kwani sie huwa tunakosa nguvu....?
   
 11. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Makumbusho kwa nyuma uliza kwa mpemba!:D
   
 12. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  kweli hili somo zuri sana sio tunaanza ooh siku hizi mme wangu/mke wangu amekosa hamu ya ku do wakati tiba mbadala zipo!
   
 13. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #13
  Mar 9, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Mmh,hata hivyo kumbe pweza wametajwa tayari kwenye somo..
   
 14. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #14
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mnasemaje kuhusu supu ya kongoro???
  Piga supu kidogo ya kongoro kisha omba mchezo....
  Balaa lake ni hadi kesho uko kifuani.
  Lakini utamu wa sex ni kufurahi na si kukomoana.
  Ni nzuri sana ukiwa unafanya kwa ajili ya kumfurahisha mwenzio, kuliko kujiangalia wewe mwenyewe.
   
Loading...